Kwanini zinatoka PhD za Heshima nyingi kwa Marais wa Tanzania pekee?

WAZO2010

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,610
3,738
Tanzania ni nchi ambayo inaongoza Afrika kwa Marais wake na wanasiasa wake kutunukiwa PhD za Heshima.

Kibaya zaidi, vyombo vya habari kwa kujipendekeza, uchawa, na elimu ndogo ya uandishi wa habari, huwaita wahuska Doctor-Dr (kinyume na matakwa ya Doctorate ya heshima).

Je, ni fashion, ulimbukeni, rushwa, inferiority complex au ni nini?
 
Tanzania ni nchi ambayo ina ongoza Africa kwa Marais wake na wanasiasa wake kutunukiwa PhD za Heshima.

Kibaya zaidi, vyombo vya habari kwa kujipendekeza, uchawa, na elimu ndogo ya uandishi wa habari, huwaita wahuska Doctor-Dr (kinyume na matakwa ya Doctorate ya heshima).

Je ni Fashion? Au ni ulimbukeni? Au Ni rushwa? Au ni Inferiority Complex au ni nini ?
Kila mpuuzi anataka nae aonekane msomi!!!!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni nchi ambayo inaongoza Afrika kwa Marais wake na wanasiasa wake kutunukiwa PhD za Heshima.

Kibaya zaidi, vyombo vya habari kwa kujipendekeza, uchawa, na elimu ndogo ya uandishi wa habari, huwaita wahuska Doctor-Dr (kinyume na matakwa ya Doctorate ya heshima).

Je, ni fashion, ulimbukeni, rushwa, inferiority complex au ni nini?
Mbona kama wewe ndio limbukeni na umejaa chuki na wivu?
 
Tanzania ni nchi ambayo inaongoza Afrika kwa Marais wake na wanasiasa wake kutunukiwa PhD za Heshima.

Kibaya zaidi, vyombo vya habari kwa kujipendekeza, uchawa, na elimu ndogo ya uandishi wa habari, huwaita wahuska Doctor-Dr (kinyume na matakwa ya Doctorate ya heshima).

Je, ni fashion, ulimbukeni, rushwa, inferiority complex au ni nini?
Mnao marais wengi vihiyo hasa wale wanaozawadiwa na kuzitumia utadhani wamesomea. Ni mojawapo ya aina fulani ya utapeli wanaoingia kirahisi.
 
Tanzania ni nchi ambayo inaongoza Afrika kwa Marais wake na wanasiasa wake kutunukiwa PhD za Heshima.

Kibaya zaidi, vyombo vya habari kwa kujipendekeza, uchawa, na elimu ndogo ya uandishi wa habari, huwaita wahuska Doctor-Dr (kinyume na matakwa ya Doctorate ya heshima).

Je, ni fashion, ulimbukeni, rushwa, inferiority complex au ni nini?
Washajulikana uwezo wa phd za kisomo hawawezi kwahyo wanapambwa pambwa na hizo za heshima ili watoe mzigo hiyo phd ishaenda na eneo moja pale moro subirini vilio
 
Tulia dawa ikuingie.
Kasomeni PhD pale UDSM, UDOM, HAVARD, nk. Mbona Nyerere hakuzawadiwa licha ya Ukombozi ukanda wote wa Africa.

Yaani tuuze mkabata kwa ulaghai wa PhD ya makaratasi
Mkataba gani? Mbona mnatapatapa? Dawa itakuingia vizuri kuanzia uchaguzi wa mwakani
 
Tanzania ni nchi ambayo inaongoza Afrika kwa Marais wake na wanasiasa wake kutunukiwa PhD za Heshima.

Kibaya zaidi, vyombo vya habari kwa kujipendekeza, uchawa, na elimu ndogo ya uandishi wa habari, huwaita wahuska Doctor-Dr (kinyume na matakwa ya Doctorate ya heshima).

Je, ni fashion, ulimbukeni, rushwa, inferiority complex au ni nini?
Dkt. William Ruto
Dkt. Cyril Ramaphosa
Dkt. Yoweri Museveni

Hao vipi?
 
Kwa hio hawa wetu ni kanjanja hawaendi kuzipigia buku si nasikia wamehitimu km Mwigulu Nchemba, Shivji na Janabi
Hao ulio wataja wame somea..Pamoja na hayati Dr. Magufuli, Mwigulu, Shivji, Philipo Mpango, nk. Ni wengi.
Shida ipo kwa Ma Rais ambao hawaja somea Mfano Sa100, Jk, Msukuma, Babu Tale, nk.

Kujiita Dr. Bila kuisomea.
 
Tanzania ni nchi ambayo inaongoza Afrika kwa Marais wake na wanasiasa wake kutunukiwa PhD za Heshima.

Kibaya zaidi, vyombo vya habari kwa kujipendekeza, uchawa, na elimu ndogo ya uandishi wa habari, huwaita wahuska Doctor-Dr (kinyume na matakwa ya Doctorate ya heshima).

Je, ni fashion, ulimbukeni, rushwa, inferiority complex au ni nini?
Nyingi ndiyo ngapi? Tutajie kila Rais wa Tanzania alipewa tuzo ngapi?

Halafu umemlinganisha na Rais yupi Afrika?
 
Back
Top Bottom