Hahahaha unena vyema bwashee ni meneja wa bar na mmiliki pia😃Wewe utakua meneja wa bar flani hapa mjin, wewe kila saa upo bar?
UnyamaNaam
Hahahaha unajua kuna ugumu kweli ila.. Tu naangalia jinsi maisha yalivyo, sijasema eti kuajiriwa ni kubaya what I mean is the slavery behind it... Waajiriwa wanaishi maisha magumu....Naelewa, ambacho sikubaliani na wengi ni namna tumewa-demonize walioajiriwa na wanaotafuta kazi. Sikubaliani na jinsi tunaamasisha watu kujiajiri kwa kufanyia rejea ya top elites wakati kiuhalisia kwenye huyo mmoja aliefanikiwa kuna mamia ya watu waliofeli. Umesema unataka kujiajiri? Utaona mziki wake, kwa sasa weka akiba ya maneno
Ajira lazima ikubane na biashara lazima ikupe stress cha muhimu chagua unapoweza kuteseka
Kuna siku, miezi, miaka unapiga hela hadi unaamini huhitaji kuajiriwa na unawashangaa waliojiriwa na kuna muda unakula msoto
Kuna majanja waliojiajiri kuna wakati hali mbaya mpaka wanachungulia ajira portal
Kujiajiri ni kukomaa mpaka mwisho kunataka uvumilivu, juhudi, nidhamu ya pesa, ubunifu na kujifunza. Huwezi bora uajiriwe
Kujiajiri ukizembea kidogo tu unaanza kwenye zero!! hakuna mambo ya warning letter
Life path imetegeneza sh ngap kwa account yako😃😃Si badili, inatia hasira wapi? 😂 Ndo life path number yangu hiyoo(11)
Unatambo ndio ila huna kitu kapuku mkubwa wewe
Kujiajiri sio rahisi kama linavyoongelewa mkuu. Utahitaji determination na capital kubwa. Pambana but don't have high expectations and leave room for disappointments. Mwisho kabisa weka akiba ya maneno. Walioajiriwa sio villainsHahahaha unajua kuna ugumu kweli ila.. Tu naangalia jinsi maisha yalivyo, sijasema eti kuajiriwa ni kubaya what I mean is the slavery behind it... Waajiriwa wanaishi maisha magumu....
I do believe Nitakuja siku moja humu kutoa ushuhuda, naamini kabisa I will fight mpka nitoboe.
Sio kweli. Kama biashara inastahimili kukupatia pesa za matumizi yako yote maana yake ishakua na imekomaa/ Mwanzo ndio huwa mgumu kutegemea biashara ili uishi. Na kama uko kwenye biashara muda mrefu na haiwezi kugharamia maisha yako afadhali uache tu ufanye mambo mengine yenye tija.Tunawaza tu 🤔ila biashara ukitegemea kwenye matumizi ya kila siku bila chanzo kingine inakufa au haitakua kamwe
Bwashee hapa nakuunga mkono hoja , pia nina deni lako , kesho nalifanyia utafiti 🤗Sio kweli. Kama biashara inastahimili kukupatia pesa za matumizi yako yote maana yake ishakua na imekomaa/ Mwanzo ndio huwa mgumu kutegemea biashara ili uishi. Na kama uko kwenye biashara muda mrefu na haiwezi kugharamia maisha yako afadhali uache tu ufanye mambo mengine yenye tija.
Kawaida ipi ?Kawaida tu mkuu
Unajua kitu kuhusu passive income?Kazi/shughuli yoyote inayokupa kipato halali kwa ajili ya maisha yako ni ajira, sasa iwe unajisimamia au unasimamiwa, zote ni ajira sbb end result ni moja, yaani hela. Wazungu walipoona gharama za kusafirisha watumwa ni kubwa wakaamua kubadilisha mfumo wa utumwa. Nitafafanua kidogo hapa ili mjiongeze.
1. Lima tumbaku yako Chunya, ila bei anapanga mzungu - utumwa
2. Kopa benki ufanye yako - wewe ni mfanyakazi wa benki indirect - mtumwa
3. Fungua grocery ya bia - wewe ni mfanyakazi wa kampuni yenye vinywaji unavyouza
4. Ukifungua duka la hardware - wewe ni mwajiriwa wa mwenye hizo bidhaa unazouza
5. Jenga shule yako- wewe ni mtumwa wa wenye watoto wanaokuja hapo kusoma
Mtu pekee ambaye siyo mtumwa ni aliyeko kaburini yaani six feet deep.