Hahahaa ukiweka mada mtu akitoa maoni ukamwambia hana akili kisa kaenda tofauti na wewe , wewe ndio kiazi wahedi , wewe ni dogo mdogo sana jitambue badilika acha hizo tabia kuwa mwanaumeSi unaona hata mindset yako, umegotea kwenye kitu kisicho na maana.
Low level mind, maskini
Sasa kama unaandika utumbo usisanuliwe?Hahahaa ukiweka mada mtu akitoa maoni ukamwambia hana akili kisa kaenda tofauti na wewe , wewe ndio kiazi wahedi , wewe ni dogo mdogo sana jitambue badilika acha hizo tabia kuwa mwanaume
35Amka nkwingwa una umri gani kwa sasa?
Hahaha tulia huwa una points nzuri sana , ndio maana sitaki kipaji chako kipotee kwenye upumbavu wa multiple I'd, huku unaongea utumbo huku unajifanya mjanja, binafsi nipo hapa toka 2012 nina I'd mbili pia ila ujinga kama wako siwezi , ukiona nakukera weka ignoreSasa kama unaandika utumbo usisanuliwe?
Umenijuaje wewe? Umeona nimekujaji umri wewe mmatumbi?
SafiKujiajiri sio wito wa kila mtu, ni kama ilivyo soka, uimbaji, akili n.k umahiri unatofautiana. Kuna wanaojua, wasiojua na ambao hawajui kabisa.
Vilevile hatuwezi kutengeneza uchumi wa watu waliojiajiri tu. Lazima wawepo wote wawili yaani waajiri na waajiriwa ili kuwe na balance. Otherwise turudi kwenye barter trade.
Acheni kuimba wimbo wa wanasiasa. Hao wanawa-demonize graduate wanaotafuta kazi ili kukwepa lawama za kushindwa kutengeneza mfumo wa kumwezesha mwananchi achague mwenyewe kujiajiri au kuajiriwa.
Sasa kwanini Usi nipe kongole toka mwanzo ewe mmatumbi mwenye nongwa? 😂Hahaha tulia huwa una points nzuri sana , ndio maana sitaki kipaji chako kipotee kwenye upumbavu wa multiple I'd, huku unaongea utumbo huku unajifanya mjanja, binafsi nipo hapa toka 2012 nina I'd mbili pia ila ujinga kama wako siwezi , ukiona nakukera weka ignore
Unajua nimekufollow kabisa ila kwa hii I'd yako nilishtuka kuona maujinga yakoSasa kwanini Usi nipe kongole toka mwanzo ewe mmatumbi mwenye nongwa? 😂
YesU still have an opportunity nkwingwa.
Yes, kabisa ila unajua kwanini tunasema ni utumwa!?Kujiajiri sio wito wa kila mtu, ni kama ilivyo soka, uimbaji, akili n.k umahiri unatofautiana. Kuna wanaojua, wasiojua na ambao hawajui kabisa.
Vilevile hatuwezi kutengeneza uchumi wa watu waliojiajiri tu. Lazima wawepo wote wawili yaani waajiri na waajiriwa ili kuwe na balance. Otherwise turudi kwenye barter trade.
Acheni kuimba wimbo wa wanasiasa. Hao wanawa-demonize graduate wanaotafuta kazi ili kukwepa lawama za kushindwa kutengeneza mfumo wa kumwezesha mwananchi achague mwenyewe kujiajiri au kuajiriwa.
Mimi niliacha ajira ili nitengeneze empire ambayo hata uzao wangu utanufaika nayo. Lakini wakati nimeajiriwa nilikua napata pesa nyingi zaidi na muda mwingi zaidi wa kupumzika kuliko sasa. Kwahiyo sio kweli kwamba kwenye kujiajiri kuna mapesa ya dezodezo na muda wa kutosha
Mimi nimeajiriwa na familia yangu niitumikie hadi nizeeke bila manung'uniko.Na huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?