Hakika mzee... Good luckWaliojiajiri ndo wametoka kupiga asubuhi hii kwa watumishi wa umma wakopeshwe, nao wa umma ndiyo tumetoka ku clear madeni kwa mangi chenji ni liquor store baadae
Kabla hujaqcha kazi jitathimini vya kutosha de guna, jipange haswa
Binafsi ntaanza kuwekeza bado nipo kwenye ajira hasa ufugaji, na kilimo biashara naangalia ipi nzuri zama hz sio za kujikita kwenye mangi shop au niuze nguo ndani ya vioo!! Hapana ntajikita kutafuta biznez idea nzuri na ambayo ntaifanya ili kupata circulation hata ndogo per day
Nikiwa sawa na retire early 50's uhuru ninao saa kumi kamili nipo nje saa moja kamili tusha sign in......
Hongera na Mungu akusimamie. Ila bado sana, bado upo kwenye excitement stage. Subiri ukate miaka mi4-5. Ukutane na kodi za TRA 3-4. Kisha rudi hapa utipe ushuhuda. Kila la kheri mkaliMkuu, wazo lako la kuacha kazi na kujiajiri ni bonge la wazo, usirudi nyuma.
Me nlichukua maamuzi mwaka jana December nikapiga kazi chini, nikajiajiri. Kwa sasa nipo kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi, na tayari nina miezi saba tangu niingie rasmi kwenye kujiajiri.
Sina uzoefu mkubwa wa kuweza kuelezea biashara, ila nitakuambia kitu kimoja tu: kila kitu kinawezekana. Imagine, sehemu ninapoishi sasa hivi nalipa kodi kwa kutegemea hii hii biashara yangu, na pia nafanya saving kwa maandalizi ya kodi ya mwakani January. Hii ni ishara ya mwanzo mzuri na inatia moyo kwa kuonyesha kuwa kila kitu kinawezekana.
Kitu pekee ambacho nimekipata, na kwa kiasi fulani kilinitesa mwanzoni ila sasa nimekizoea, ni kuamka mapema kila siku ili saa mbili kamili niwe dukani, halafu nafunga saa moja usiku. Mwanzoni nilikuwa nachoka sana, ila sasa nimezoea.
Kwa kuongezea tu, me nafungua duka hadi Jumapili. Yaani nikitoka church moja kwa moja naenda dukani. Kwa hiyo naweza kusema nimepata uhuru ambao kwenye ajira niliukosa, ila nashindwa kuufurahia huo uhuru kwa sababu biashara yangu inahitaji muda wangu zaidi.
Kazi kwako, mkuu.
Yes, yes, yes na ndo ukoloni mambo leo tunaouzunngumzia. Unakuta jitu zima halina kazi halina plan.... Si bora hata likajitolee huko kipate experience. Mm kuna kitu najifunza sana kwa waliojiajiri huwa najenga mahusiano bora nao. Na chukua vingi sana kutoka kwaoNchi zilizoendelea raia wake hawana shida ya kuajiriwa. Ukionekana umeajiriwa basi wewe huna akili za kujiajiri. Inabidi serikali au kampuni binafsi iweke dau kubwa la mshahara ili ipate wafanyakazi. Utampata wapi mfanyakazi kindezi wakati kila mtu ana shughuli yake inayomuingizia hela nyingi na kumpa maisha mazuri? Huku madongokuinama raia hawana elimu ya kutosha kuendesha maisha yao, wana njaa kali hawana hela, wanategemea kuajiriwa na kufanya vibarua, umasikini mtupu umewajaa. Wanaona ukombozi wao uko kwenye kuajiriwa tu ndio watapata hela huko
Trust me kama ni kitu ambacho unakipenda na unataka kikupatie uhuru kitaleta huo uhuru... Ongeza juhudi, kuza biashara na utafika wakati dukani utakuwa unaenda kufunga mauzo tuu.Mkuu, wazo lako la kuacha kazi na kujiajiri ni bonge la wazo, usirudi nyuma.
Me nlichukua maamuzi mwaka jana December nikapiga kazi chini, nikajiajiri. Kwa sasa nipo kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi, na tayari nina miezi saba tangu niingie rasmi kwenye kujiajiri.
Sina uzoefu mkubwa wa kuweza kuelezea biashara, ila nitakuambia kitu kimoja tu: kila kitu kinawezekana. Imagine, sehemu ninapoishi sasa hivi nalipa kodi kwa kutegemea hii hii biashara yangu, na pia nafanya saving kwa maandalizi ya kodi ya mwakani January. Hii ni ishara ya mwanzo mzuri na inatia moyo kwa kuonyesha kuwa kila kitu kinawezekana.
Kitu pekee ambacho nimekipata, na kwa kiasi fulani kilinitesa mwanzoni ila sasa nimekizoea, ni kuamka mapema kila siku ili saa mbili kamili niwe dukani, halafu nafunga saa moja usiku. Mwanzoni nilikuwa nachoka sana, ila sasa nimezoea.
Kwa kuongezea tu, me nafungua duka hadi Jumapili. Yaani nikitoka church moja kwa moja naenda dukani. Kwa hiyo naweza kusema nimepata uhuru ambao kwenye ajira niliukosa, ila nashindwa kuufurahia huo uhuru kwa sababu biashara yangu inahitaji muda wangu zaidi.
Kazi kwako, mkuu.
Mawazo ya kimaskini hayoo.Kama bado matumizi yako ya kila siku unategemea hiyo hiyo biashara ,kwa nini usingeendelea kupiga kazi na ukafungua hilo duka la vifaa vya ujenzi ukaweka utaratibu na kanuni , halafu ukaajiri mtu hapo?
Mawazo ya kimaskini , poa .Mawazo ya kimaskini hayoo.
Hapo ataendelea kupata experience na atajua namna ya kupiga hatua kwa haraka maana anafanya yeye mwenyewe.
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Na wengi wanafanya hivi huwa wanaishia kupoteza tu
Huyo alikuwa boss wako,Swali kuntu hili...
Nishawahi kua na boss anakunja 20M per month nje ya malupuluou huyu ukimwambia habari za kujiajiri anakuchapa makofi.
Na sijui watu kujiajiri wanakuchukuliaje, yaani wanadhani unakua kama Vunjabei, ila binafsi naona kama unataka muda wa kupumzika upo kwenye kuajiriwa zaidi kuliko kujiajili.
Hao walio top wanachukua asilimia ngapi ya jamii?Inategemea umeajiliwa wapi,
Kituo cha mafuta, kampuni ya mhindu, mchina, unalipwa chini ya milioni, au UPO UN, umoja wa ulaya, mgodini,
Au, kampuni ya, kimataifa, unalipwa, kuanzia, 3M take home!
Tumefsnya,ajira mpaka tumestaafu,
Tuko kwenye kampuni na tunamriki ma kampuni nje, na, tumeajiri!
Inategemea UPO wapi!
Hawa, mawaziri wengi wana ma kampuni nje, unafikiri kwa nini hawaachi u waziri wakawe ma CEO kwenye ma kampuni Yao,
Sio, kwa sababu watakufa njaa, w anataka wapige maximum benefit, kwenye siasa, unavuna, na, mtaani unavuna,
Wewe wa, kwenye kampuni ya mhindi, ndio mtumwa
Omba ajira , humu kuna vipanga kibao , usiishie kwenye ego la kipumbavu tu dogoAkili huna