de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,186
- 22,193
- Thread starter
- #181
Hii comment imewafariji wengi mno😂😂Ajira lazima ikubane na biashara lazima ikupe stress cha muhimu chagua unapoweza kuteseka
Kuna siku, miezi, miaka unapiga hela hadi unaamini huhitaji kuajiriwa na unawashangaa waliojiriwa na kuna muda unakula msoto
Kuna majanja waliojiajiri kuna wakati hali mbaya mpaka wanachungulia ajira portal
Kujiajiri ni kukomaa mpaka mwisho kunataka uvumilivu, juhudi, nidhamu ya pesa, ubunifu na kujifunza. Huwezi bora uajiriwe
Kujiajiri ukizembea kidogo tu unaanza kwenye zero!! hakuna mambo ya warning letter