Usiige KUNYA kwa tembo utapasuka msamba! Unajua wanafanya biashara gani?Sema kweli hiki kitu hata me kinaniwazisha sana, kwa mshahara wangu huu hata nikisema nijibane siwezi pata nauli ya kwenda Dubai na kula maisha kwa wiki. Wakati nina wana kibao walioko kwenye business zao mjini sehemu kama Dubai na China wanaingia karibu kila mwezi . Kuna siku nitafanya maamuzi magumu inshallah
AlooohKuna majanja waliojiajiri kuna wakati hali mbaya mpaka wanachungulia ajira portal
Karibu kwenye maonesho ya 8nane Singida.Tukisema tufate statistics that's another case, tubaki kwenye mada tu.
Huu ni uongo kama ule wa wanaaiasa.Nchi zilizoendelea raia wake hawana shida ya kuajiriwa. Ukionekana umeajiriwa basi wewe huna akili za kujiajiri. Inabidi serikali au kampuni binafsi iweke dau kubwa la mshahara ili ipate wafanyakazi. Utampata wapi mfanyakazi kindezi wakati kila mtu ana shughuli yake inayomuingizia hela nyingi na kumpa maisha mazuri? Huku madongokuinama raia hawana elimu ya kutosha kuendesha maisha yao, wana njaa kali hawana hela, wanategemea kuajiriwa na kufanya vibarua, umasikini mtupu umewajaa. Wanaona ukombozi wao uko kwenye kuajiriwa tu ndio watapata hela huko
Ndio napambana nikaitoe sasa hivi
View attachment 3580443
Kama bado matumizi yako ya kila siku unategemea hiyo hiyo biashara ,kwa nini usingeendelea kupiga kazi na ukafungua hilo duka la vifaa vya ujenzi ukaweka utaratibu na kanuni , halafu ukaajiri mtu hapo?Mkuu, wazo lako la kuacha kazi na kujiajiri ni bonge la wazo, usirudi nyuma.
Me nlichukua maamuzi mwaka jana December nikapiga kazi chini, nikajiajiri. Kwa sasa nipo kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi, na tayari nina miezi saba tangu niingie rasmi kwenye kujiajiri.
Sina uzoefu mkubwa wa kuweza kuelezea biashara, ila nitakuambia kitu kimoja tu: kila kitu kinawezekana. Imagine, sehemu ninapoishi sasa hivi nalipa kodi kwa kutegemea hii hii biashara yangu, na pia nafanya saving kwa maandalizi ya kodi ya mwakani January. Hii ni ishara ya mwanzo mzuri na inatia moyo kwa kuonyesha kuwa kila kitu kinawezekana.
Kitu pekee ambacho nimekipata, na kwa kiasi fulani kilinitesa mwanzoni ila sasa nimekizoea, ni kuamka mapema kila siku ili saa mbili kamili niwe dukani, halafu nafunga saa moja usiku. Mwanzoni nilikuwa nachoka sana, ila sasa nimezoea.
Kwa kuongezea tu, me nafungua duka hadi Jumapili. Yaani nikitoka church moja kwa moja naenda dukani. Kwa hiyo naweza kusema nimepata uhuru ambao kwenye ajira niliukosa, ila nashindwa kuufurahia huo uhuru kwa sababu biashara yangu inahitaji muda wangu zaidi.
Kazi kwako, mkuu.
Hii ni non sense idea, utaajiri vp mtu kwenye biashara ambayo huna experience nayo, au unatak kuibiwa mkuu 🤔Kama bado matumizi yako ya kila siku unategemea hiyo hiyo biashara ,kwa nini usingeendelea kupiga kazi na ukafungua hilo duka la vifaa vya ujenzi ukaweka utaratibu na kanuni , halafu ukaajiri mtu hapo?
Tunawaza tu 🤔ila biashara ukitegemea kwenye matumizi ya kila siku bila chanzo kingine inakufa au haitakua kamweHii ni non sense idea, utaajiri vp mtu kwenye biashara ambayo huna experience nayo, au unatak kuibiwa mkuu 🤔
Ndo maana nimeamua kujikita na kilimo cha MIHOGO ya kienyeji.wanasemaga ajiriwa unyanyasike, jiajiri uchanganyikiwe