Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Sio makasiriko wala , nakushauri tu 😃 uzi wako kukaa kwa shemeji bado naukumbuka 😃 halafu nipo bar makasiriko ya nini sheikh
Kwa akili zako za kilevi ukaamini sio..!
Huna lolote debe tupu wewe
 
Kwa akili zako za kilevi ukaamini sio..!
Huna lolote debe tupu wewe
Hahaha kuwa mpole dogo , debe tupu ukimaanisha ni mimi nakaa kwa shemeji na kuangaika na utitiri wa I'd humu kama wewe😃😃 tulia tutakupandishia comment zako za kutia mashaka humu, utakimbia😃
 
Hahaha kuwa mpole dogo , debe tupu ukimaanisha ni mimi nakaa kwa shemeji na kuangaika na utitiri wa I'd humu kama wewe😃😃 tulia tutakupandishia comment zako za kutia mashaka humu, utakimbia😃
Mkuu sina hulka za kuwa Kalia kimya ego headed cowards. Na sina aibu kabisa.
 
Na huu ndo ukweli Mchungu...

Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.

Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.

Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.

Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
Ila kule TRA sio utumwa hata traffic police.
 
Tulia Eva 😃 umeshasanukiwa mwanzoni ndio nikua naona kama una akili, sio sasa.
Issue ni kuwa napiga kwenye mshono..

Sina hiyana mimi, unajitaftia umaarufu kutukana watu eti una hela kumbe kapuku mmoja tu
 
Muajiriwa ukitaka Kujiajiri ni mkakati,weka mpango wako vizuri.kisha chomoka ukiwa umeweka msingi

Waajiriwa waliojiajiri wapo wengi inategemea na aina ya kazi, nyingine hazibani malipo sio haba unaweza piga kote kote,ukavuna kote ila nyingine kama za wahindi huko unalipwa laki 3 na unabanwa siku nzima ni taabu tupu

Pambana
Ni kweli mkuu... Ningependa unifafanulie zaidi maana umeongea kifupi sana. What best way naweza kufanya vyote hivyoo.. Ajira ipi na kujiajiri katika fani ipi?
 
Na huu ndo ukweli Mchungu...

Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.

Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.

Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.

Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
Ni utumwa ukiwa na ajira ila ukiwa hauna ni baraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom