Chombezo: Bilinganya la mwalimu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Chombezo : Biringanya La Mwalimu Sehemu Ya : Kwanza (1)
2 Apr

IMEANDIKWA NA: UNKNOWN

**********

Siku Ziliendelea kukatika kwa kasi Sana

Si unajua tena siku hazigandi..

Hatimaye , Graduu ilikaribia na baadaye ikawa imepita kabisa ,hakika nitawamiss Sana rafiki zangu, nitakimiss kila kitu nilichokwisha kizoea bila kusahau mazingira Yale tulivu niliyo kuwa ninaishi daah ......??

mawazo mengi yaliendelea kukatiza kichwani mwangu wakati nikiwa bado napakia mizigo yangu tayari kurudi nyumbani, nikawa najiuliza,.....

"sawa, nimemaliza Chuo, lakini nini kitafutia baadaye huko mtaani??? "

kwa kifupi, niliumiza Sana kichwa kuhusu maisha baada ya Chuo *

Nakumbuka kuna kipindi, Niliwahi Kutafuta kazi wakati bado nikiwa mwaka wangu wa mwisho , lakini sikufanikiwa kupata kazi iliyoweza kunifaa.

Taratibu nikajikuta naanza kuwatamani baadhi ya rafiki zangu waliozaliwa katika familia za kitajiri, maana kwa upande wao, Hali ilikuwa tofauti , wao tayari kazi zilikiwa nyumbani zikiwasubiri ,nikama walikwisha tafuniwa muda mrefu Sana .. Wakisubiliwa tu kumeza!

**daah haya maisha ..hayako Fea kabisa *?? **life is always so unfair ??

Nilichukua begi langu lililo sheheni baadhi ya vitu vyangu vya muhimu ,ikiwemo laptop yangu ya Toshiba, Kisha Taratiibu nikaanza kuzipiga hatua zangu kuelekea Stendi.

Hapo, nilipanda basi la moja kwa moja kuelekea Jijini mwanza!

**baada ya masaa mengi Sana kukatika *hatimaye

Nilifika nyumbani, familia yangu na baadhi ya majirani walinikaribisha kwa furaha na shangwe Kama lote ,

ilikuwa ni kama mzungu kawatembelea siku hiyo , maana walikuwa wakiniuliza Sana maswali Mengi , wengine walikuwa bize wakinipa

salamu,na wengine walikuwa bize wakiulizia kitu gani nimewaletea ,,

Kwavile nilikuwa na uchovu usioelezeka, pengine kutokana na stress nilizokuwa nazo pamoja na urefu wa safari, moja kwa moja nikaanzia bafuni nikaoga kisha, nikarudi chumbani kwangu, nikajitupa kitandani.. Hapo Nikauruhusu usingizi Unichukue!!

Baada ya siku kadhaa kupita., nikaona isiwe tabu,

wacha Niingie zangu town nikatafute kazi au kitu kingine chochote cha kufanya ili angalau maisha... Yasonge.

.

si unajua tena , kuzaliwa mwanaume ????

.

Siku moja nilipokuwa nikipita-pita zangu mtaa flani hivi , nikamuona mwanamke mmoja akitoka kwenye Bonge moja la jumba, jumba lililo jengwa likajengeka , jumba lenye kila sifa za kufananishwa na ikulu ya Marekani (white house ??)....

ilikuwa nyumba nzuri Sana iliyo Nakshiwa kwa rangi nyeupe.

Alikuwa akibandika Karatasi flani hivi iliyo andikwa kwa maandishi makubwa meusi !!! pembezoni kidogo mwa geti la ile nyumba, kwa akili ya haraka haraka, nilijua kabisa litakuwa tangazo ....

kuna wakati nilitamani.. Nisogee ili Niweze Kujionea ni kitu gani... Kitakuwa Kimeandikwa kwenye lile karatasi

Baada ya kujishauri kwa sekunde kadhaa, nikazipiga hatua zangu na kulifikia lile tangazo

Lilikuwa limeandikwa Hivi

" Mwalimu Wa Masomo Ya Sayansi....Anayeweza kufundisha Nyumbani Anahitajika haraka!!!!! "

Nilipo maliza kulisoma, sikuweza kuli-tilia Maanani kabisa ...

*hata sijui ni kwanini??

Hivyo Nikaamua

kuondoka zangu, lakini baada ya kuzipiga hatua kama 8 hivi... Ghafla Nikasimama, kuna wazo lilinijia

" hivi kwanini.. Naikataa hii kazi lakini ???? , isitoshe hawa watu ni matajiri ...Si Nachokitafuta Ni

pesa?! Au?!! "

Fasta, nikajiona napoteza wakati.. Nikarudi

Mpka kwenye lile geti, kisha nikaanza kugonga

" ko ko ko "....kimya

Nikanyanyua mkono wangu kwa Mara nyingine tena ili nigonge , si ndo geti likafunguliwa.

Akatoka mlinzi, tukasalimiana kisha nikamwelezea ,akanikalibisha ndani.

Akanipeleka moja kwa moja kwenye lango kuu la jumba lile, kisha akamwita bossi wake ! Baada ya hapo Akajiondokea.

MIMI: Madam shikamoo.

MADAMU: Marhabaa kijana , nikusaidie nini ?

MIMI: Nilikuona ukibandika tangazo hapo nje, ndo nimekuja kwa ajili ya hiyo nafasi.

MADAM: unamaanisha kazi ya mwalimu wa sayansi wa nyumbani???

MIMI: Ndio

MADAM: bila Shaka utakuwa umemaliza form six??? Vipi matokeo yako yalikuwaje?

MIMI: * nikatabasamu kidogo *, kisha nikamjibu "ndio madam.. Yalikuwa vizuri Sana "

nikwel matokeo yangu ya form six. .nilipata daraja la pili ? ? ? *

MADAM: lakini ningependelea zaidi , mhitimu wa Chuo kikuu.. Maana nahitaji binti yangu afaulu kwa Alama za juu na ndo maana nikaonelea mhitimu atafanya vizuri zaidi,

MIMI: nikajitizama kiaina..nikawa nawaza *

Pengine sababu ya mwili wangu mdogo ndo maana madam ananichulia Poa eeh ???? nikatabasamu kisha nikamjibu " Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu , madam "

MADAM: kweli?, Oooohh, plz samahani nitakuwa nimekukwaza pengine ... samahani tafadhali, ila unaonekana mdogo sana, plz karibu ndani.

akaniongoza mpaka sebuleni

Daahh Asikwambie mtu... Ile sebule haikuwa ya nchi hii, ilikuwa sebule moja kubwa Sana yenye kila kitu, kila Aina ya furnitures zilikuwepo ....Huku Mpangilio mzuri wa vitu ukiifanya sebule ile izidi kuoneka yakimataifa

*sikuwahi kuiona sebule Kama ile.. Miaka yote niliyo ishi hapa duniani * yani kitu levels ????

Nilikaa kwenye kiti na yeye akaketi karibu nami tukitizamana.

MADAM: samahani..!!

MIMI: Hamna shida, Madam

MaDAM: wewe ni mwenyeji wa mkoa gani?

MIMI: Mara

MADAM: aahm una miaka mingapi?

MIMI: ** hapo nikahisi aibu kidogo * nina miaka 22

MADAMU: 22? Halafu ulihitimu ukiwa na umri gani?

MIMI: 22 ,Madam

MADAM: * alitabasamu *

Kisha akanambia "inaonekana utakuwa genius , nimeipenda hiyo " . Okay wacha tuongelee biashara.

Binti yangu wa kwanza anaitwa Jackline ana miaka 20, alifeli mitihani yake ya mwisho ya kuendelea na kidato cha tano na sita (advanced -level) , hivyo basi utamfundisha fizikia, kemia na hesabu, ahhm nilisahau kidogo, ulisoma kombi (combination) Gani??

MIMI: PCM

MaDAM: Wow , basi unapaswa kuweza kufanya vizuri Sana, sawa kijana???

MIM: sawa madam ,

wakati natizama vizuri kwenye ukuta uliokuwa mbele yang, sio Siri nilijikuta nimependa nilicho kiona. Macho yangu yalitua moja kwa moja kwenye picha ya msichana mrembo, msichana mwenye mvuto wa Aina yake ,mbichi ,mwenye kirangi cha utamu , mrefu kiasi mwenye kifua cha wastani, kilicho kaliwa vyema na dodo zenye ujazo wa Kati zilizo simama vyema misili ya mishale iliyo kwenye upinde tayari kwa kurushwa mbele , daah nyuma sasa, Bonge la msambwanda, yani mashallaaaah hapo bila Shaka nikajua huyo atakuwa ndo jackline ***

MADAM: pia nina mtoto wa kiume ,yuko form 2 utakuwa unamfundisha hesabu.

Mimi: sawa, madam

****baada ya mazungumzo kidogo Madam alimwita mtu kwa jina la "sikitu!!

Sikituuuu!!! , niletee chupa ya koka na glasi 1

Msichana mdogo mdogo alionekana Kutokea jikoni,

*kwa haraka haraka, umri wake ni Kati ya miaka 18 mpka 19 *

mavazi yake yalionyesha dhahiri kuwa lazima atakuwa mfanyakazi wa nyumba ile .

Alikuwa na uzuri flani wa asili , kifuani pia alikuwa na chuchu ndogo ndogo zilizo simama vilivyo, ila hazilingani na za jackline

Akaweka ile chupa kubwa ya Coca na ile glass mezani, kisha akarudi nyuma,

* nikawa nautizima msambwanda wake chinichini kwa kuibia , daah yuko vizuri --nikajisemea kimoyomoyo *

akaniangalia kidogo kisha akaondoka.

MADAM: huyo ni mfanya kazi wa hapa nyumbani

Madam: Kwa Hiyo Nitakulipa shilingi ngapi?

MIMI: * nikafikiria kwa muda, nikatazama muonekano wa ile nyumba, nikakumbuka na Yale magari niliyoyaona kule nje * Kisha nikamjibu " Laki6 madam! "

MADAM: heeeeeeeee, ww mtoto utaniua bhana, Jamani!!! Nakuajiri umfundishe ili afaulu kwenda form 5 tu , mbona gharama iko juu Sana?? Nitakulipa laki5 kwa mwezi kwa watoto wote wawili ? ..sawa?

**kwa hesabu zangu, laki5 ilikuwa Poa tu *??ukizingatia nafundisha nyumbani ,!! Hivyo sikuwa na haja ya kufikiria Mara mbili mbili *

MIMI: sawa ,madam !

MADAM: aahmm kitu kingine, hakikisha hutoki nje ya ufundishaji ... Na binti yangu Nadhani unaelewa kitu gani namaanisha??? , na ikitokea umefanya hivyo.. Nitakutumia wauaji.. Wakuondoe kwenye uso wa hii dunia.

MIMI: sawa, madam, nimekuelewa

hapo nikawa najiuliza... kwa hiyo huyu mwanamke anajali tu kuhusu binti yake !!, vipi kuhusu Sikitu??? **

Samahani madam, naweza kuuliza swali?

Madam: yeah, uliza tu!

MIMI: tafadhali, wanao wapo karibu?! Nataka kujitambulisha kwao

**** niliuliza tu lakini kwenye akili yangu...nilitaka nimuone huyo jackline, jinsi alivyo kiuharisia.

MaDAM:Jackline,,,hayupo, ametoka..ameenda kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rafiki yangu, na Brighton mwanangu amelala ndani. Ila utakapo anza kufundisha rasmi nadhani , utawajua

MIMI: ahsante madam . Ahhmm Jambo moja zaidi tafadhali, napenda kukutana na baba pia Kama yupo.

MADAM: akacheka, baba hayuko nchini,.

Mimi: sawa madam ,basi ngoja niende Nitarudi Jumatatu.Tukapeana namba na madam, Kisha, nikasimama Ili niondoke

Mara sikitu, akaja kuondoa ile chupa na glass, akaniangalia Sana machoni mwangu Kisha Akaachia tabasamu zuri, Tabasamu lililo pelekea Dimpoz Zionekane vyema mashavuni mwake! ...nikamtizma kwa syle flani hivi kisha NiKatabasamu pia.

Nilitoka Hadi nje kabisa ya geti, nikawa Nimesimama kwa dakika kadhaa . Mara nikamuona binti flani mrembo

***sura yake, ilikuwa Kama ile niliyoiona kwenye picha pale sebuleni, bila Shaka atakuwa ndo jackline!!

Nikampa hai "Mambo? ". Akanikaushia , akapita moja kwa moja hadi getini na kugonga ...kwa nguvu

" nko ko ko " ...."ko ko..... [kabla hajamalizia kugonga ]

Mlinzi..akafungua, jackline akamkata jicho hilo.. Kisha akaingia ndani!

***mmh sio kwa dharau hizi....kazi ninayo kwelkwel ..ila fresh! Tu---nilijisemea kisha nikaondoka zangu!

...

Basi, kesho yake nikaelekea zangu town, kwa ajili ya kufanya maemezi ya hapa na pale! kwanza nilianzia babashop nikanyoa nywele, style flani hivi iliyonifanya nionekane handsome maradufu, kisha nikaelekea kwenye maduka ya nguo, hapo..nikanunua mashati flani classic na suruali kadhaa na bila kusahau unyunyu wa bei Kali wenye harufu nzuri ya kuvutia!.Nikanunua na baadhi ya vitu kwa ajili ya matumizi ya ndani! Kisha moja kwa moja Nikaelekea kwenye makazi yangu mapya , mahali ambapo niliishi zamani kabla sijaenda Chuo.

*hatimaye jumatatu ikawadia ?

siku hiyo niliamka mapema sana ili niweze kujiandaa ,Kama kawaida yangu nilifanya mazoezi kidogo ili kuweka mwili wangu sawa kisha nikapata breakfast ****

mpka inafika saa nne asubuhi, tayari kila kitu kilikuwa sawa... Basi, Nikaanza kuzipiga hatua zangu kuelekea kwenye kazi yangu mpya.

baada ya kufika mjengoni (white house) kazini ??**

"Ko ko ko", nikagonga getini,mlinzi akafungua geti, akanitizama, akatabasamu kidogo, kisha akanambia " karibu,, Madam Hayupo ila amenambia ukija, hakiksha unamfundisha jackline ,,,,Aunty Jackline yeye yuko ndani "

Nikaingia ndani ya geti, moja kwa moja nikaanza kutembea kuelekea lilipo lango kuu la jumba lile .

Nilipo fika pale langoni, nikasimama kwa sekunde Kama 6 hivi! Kisha nikagonga " ko ko ko"

"NAANI???????????? " ilisikika sauti laini ya kike yenye ukali kidogo ikihoji tokea ndani.

Ni Mimi Alvine, nikamjibu.

Baada ya sekunde Kama 10 akafungua mlango, na kusimama mlangoni.

daaah, jackline alikuwa amevalia kisketi kifupi Sana cha jinsi !yani nusu ya mapaja yake yote yalikuwa wazi kabisa ??#jamani?? Afu juu katupia kibode flani hivi Chepesiiiiiiiii,,,kwa haraka harak alikuwa ajavalia bra juu , hivyo kupelekea vitu vilivyo chongoka misili ya misumali miwili kuonekan vyema kifuani kwake.

Jackline, Alinitizama kuanzia chini... Mpka juu! Kisha akaegemea mlangoni. sidhani Kama alikuwa akinikumbuka

maana tulionana juzi tu pale nje getini

JACKLINE: unamuulizia Nani???

MIMI: Mimi ndo mwalimu wako mpya wa masomo...na Madam aliniambia nianze rasmi leo.

JACKLINE: ** akiwa bado, kakunja sura ** kweli eh? Basi karibu ndani ukae! …….

"Sikituuuuu !!!!!!!, hivi yuko wapi huyu msichana mpumbavu?", aliongea kwa sauti ya juu iliyo onyesha wazi kukerwa!

mmmh huyu manzi naye kazidi, ka mjeda!?!!!!!!!! **

Chap kidogo, Sikitu akawa amefika , alipo niona akatabasamu kiaina kisha akanipa hai " mambo sir "

nilitabasamu ,nikaitikia "fresh tu".

"Unashangaa shangaa nini sasa!!!! Hebu chukua hiki kikombe haraka na upotee hapa"

Sikitu akainama haraka , akachukua kile kikombe na kuondoka zake *.

Nilimtazama jackline mara mbili mbili huku nikiwa siamini kabisa kama alikuwa na umri wa miaka 20. Kwa jinsi alivyo kuwa mashallah alionekama Kama msichana mwenye miaka 24 hivi au 25!

Akanigeukia kisha, akaachia tabasamu kwa mbali .

JACKLINE: yani acha kabisa!!!! huyu mtoto ni mvivu ...unajua mvivu eeh !!??? Yani bila kumpgia kelele tena kwa nguvu , hawezi kabisa kufanya kazi. ammhh ulisema jina lako unaitwa Nani vile ?

MIMI: Alvine

JACKLINE: okay , mummy tayari kaisha tutarifu Mimi na mdogo wangu kuwa utakuwa unakuja kutufundisha. aahmm , hebu twende kwenye point!!!

MIMI: sawa

JACKLINE:natumai utakuwa unajua kufundisha vizuri, maana mpka sahiv tunavyo ongea !!,,wewe ni mwalimu wa nne kuajiriwa hapa mwaka huu, wengine wote walikuwa hawajui kufundisha hata kidogo na nikishagundua tu kuwa wewe sio mzuri ,I mean haujui kufundisha nitamwambia mammy na haraka sana utafukuzwa kazi.

MIMI: moyo wangu ulishtuka kidogo, ukawa Kama unaruka juu chini juu chini kwa sekunde kadhaa **, Mimi ni mwalimu mzuri Sana niliye zaliwa na kipaji, kuhusu hilo ondoa Shaka kabisa.

JACKLINE: okay, tusipoteze muda.. Hebu tujadili kuhusu ratiba ...Mummy alisema nisome mara 5 kwa wiki lakini Mimi nataka mara 3 au 4. Na mummy hatakiwi kujua chochote juu ya hili. Umenielewa ?

MIMI: ** mmh ndo maana, akafeli sio Kwa uvivu huu**. "Sawa" , nilijibu

JACKLINE: kwa hiyo itakuwa ni saa ngapi?? na ni siku zip haswaa! Zitakuwa sawa kwako?

MIMI: siku yoyote na muda wotote ule utakao pendelea wewe!

JACKLINE: siku yoyote na muda ? Nilidhani labda kuna shule Unafundisha??? Au haufanyi kazi mahali pengine?

MIMI: * daah huyu binti ni mpuuzi kinyama! , hivi anaanzaje kunihoji ka kimdoli chake ?? ?? ?? ,.... aahhm nilikuwa nikifundisha wakati nilipomaliza Chuo , nikaon nimdanye*

JACKLINE * akanitizama huku akiwa kanyanyua nyusi zake * kwa hivyo wewe ni mhitimu!??, umemaliza Chuo kikuu si ndyo? ?, Waaooooooh, nilikuwa nikifikiria labda umemaliza form six tu! inavutia Sana . Alitabasamu.

MIMI: * daah huu mwili wangu huu jamani.. Utanikosesha vingi mimi , ?? **,,, Kwa hiyo umependelea siku gani?

JACKLINE : jumatatu , Jumatano, Ijumaa na jumamosi . Utakuwa ukija saa nane mchana afu unanifundisha mpka saa kumi kamili, kisha Brighton akisharudi utaendelea naye kuanzia saa kumi na nusu mpka kumi na mbili kamili, vipi.. Iko sawa kwako pia eti??

MIMI: iko sawa, . Kwa hivyo tunaweza kuanza leo?

JACKLINE:hakuna shida, kwahiyo utasubiri mpka hiyo saa nane au utaenda kisha urudi baadaye??

MIMI: nikawaza kwa sekunde kadhaa *, nadhani nitarudi baadye! . aahhmm vipi mbona madam sijamuona ?

JACKLINE : kwani hujui kuwa muda huu atakuwa ofisini kwake ? Yupo kazini na kurudi hapa ni mpka saa kumi na mbili na nusu au saa moja kabisa.

MIMI: ** A-haa basi sawa Jackline , nitarudi hiyo saa nane.

*ile nataka kuondoka tu .. Mara *??

JACKLINE:subiri kidogo , nipatie namba yako ili ikitokea dharura nikujuze . " Ww Sikituuuuu !!!!!!!!!!!, niletee simu yangu upesi hapo kitandani" .Sikitu akaja na simu akiwa ameishikilia mkononi . Jackline akamnyakua huku akiachia bonge la sonyo!! Kama kawaida sikitu alivyo niona akatabasamu tena

JACKLINE: nitajie namba yako?

MIMI: 0767784........

JACKLINE:: tayari nimeisevu

** hapo hapo akaibipu namba yangu *

MIMI: cmu yangu ikaita kidogo kisha ikakata *Nimeiona namba yako ,ngoja niende, nitarudi saa8 mchana . Jackline Akarudisha simu kwa Sikitu ,kisha namimi nikaondok zangu

Wakati natoka nje tu ya geti Mara simu yangu ikaita, nikaitizma kwa makini.. Nikagundua ni namba ngeni kabisa, nikapokea.

MIM: hallo!! Nani mwenzangu??

Mpigaji : Ni Mimi sikitu , hiyo ndo namba yangu, plz naomba uisevu. . Nitakupigia baadaye, byee.

* kisha akakata simu**

Nilifika nyumbani (geto)-kichwani nikiwa na maswali mengi Sana , hivi huyu Sikitu anataka nini kutoka kwangu? Lazima atakuwa alikalili namba yangu wakati namtajia jakcline

Nilijilaza kitandani... Mpka pale alarm iliponishtua, tayari ilikuwa Saa Saba na nusu . Chap kidogo.. Nikaianza safari ya kwenda mjengoni.. Kwa ajili ya vipindi.

Nilipofika getini Kama kawaida.. Nikagonga kisha mlinzi akafungua, nikanyoosha moja kwa moja hadi langoni. Hapo nikakutana na sauti kubwa ya mziki ikitokea ndani. Ilikuwa ni nyimbo ya inos-b ft chibu... " YOPE". Nikajaribu kugonga lakini Hakuna aliyenisikia..nikakumbuka kuwa nilikuwa na namba ya jackline.. Basi nikatoa simu yangu kisha nikampigia... Simu iliita weeeeee lakini haikupolewa! Kwavile nilikuwa na namba ya sikitu. ..nikajaribu pia kumpigia. Iliita kidogo kisha ikapolewa.. Nikamwambia tayari nishafika niko nje (langoni),

Baada ya Dakika Kama moja hivi kupita, mlango ukafunguliwa. Niliingia na kumkuta jackline.. Akiwa anatokwa na jasho jingi Sana, bila shaka alikuwa akicheza muda wote huo.

MIMI: hi Jackline, niko hapa kwa ajili ya kipindi ,

JACKLINE: "eeeehhmmm Alvine " sijui ! Nimeipatia kukuita ?

MIMI: ndio

JACKLINE:huwez kuona hata nilivyo choka?? Na wala sidhani Kama nitaelewa chochote! Nimecheza muda mrefu Sana . Na asinge kuwa sikitu kunambia kuwa kuna mtu anagonga nje wala nisinge jua kabisa kuwa ushafika.

MIMI: ** aisee kazi ninayo, bora hata sikitu anaoekana ana akili kidogo eeehh **.nikaona isiwe dili nikamwambia sawa

Kwahiyo unadhan labda tufanyeje sasa?

JACKLINE:aahhm unapaswa kusubiri labda mpka Brighton akitoka shuke, ndo umfundishe!

MIMI:eek:kay!! sawa

JACKLINE: nikupatie nini labda?

MIMI: thanks! Sijihitaji chochote,

Nilimngojea Brighton kisha nikamfundisha hesabu . Basi niliendlea na vipindi tangu siku hiyo na Huku jackline akiwa ni mtu wa kukwepa vipindi Mara kwa Mara na wala sikujaribu kumwambia Madam! ??

Sikitu naye kwa kuibia ibia hakuchoka kunitafuta kwenye simu . Nikawa naongea naye karibia kila cku.... Muda mwingi tuliongea kuanzia saa sita usiku ..

Mara nyingi, tumekuwa tukiongelea vitu vya kawaida Sana.. Hatukuwahi kuongelea kuhusu mapenzi hata siku moja..

Lakini siku moja sikitu alinambia kuna kitu cha muhimu Sana alihitaji kuniambia..

MIM: hello Sikitu, ulisema kuna kitu unataka kuniambia !?

SIKITU:ndiyo, tafadhali nahitaji Sana msaada wako. Sijui Kama utaweza kunisaidia!

MIMI: nambie kwanza, ni kitu gani hicho?

SIKITU:. Kusema kweli, nilikuwa nahitaji huduma ambayo sidhani Kama nitaweza kuilipia!

MIMI: huduma usoweza kuilipia!? Unamaanisha nini siki?

"siki " hapa nikimaanisha "sikitu "????

SIKITU: Ninaogopa kukwambia , sijui hata nianzie wapi .

MIMI: usiogope , nambie tu siki?

SIKITU: aahmm ahhmmmm

..

...

...

•unadhani sikitu. Alipanga kumwambia mwalimu kitu Gani???

•unadhan kwann Mwl hajataka kumwambia madam. Kuhusu jackline? ????

...

SIKITU: aahmm ahhmmmm

Ukweli ni kwamba, niliishia fomu2. Lakini bado Nina hamu ya kuendelea na shule ila ndo hivyo tena wazazi wangu hawana uwezo. Dada ambaye alinitoa kijijini kwetu aliwa-ahidi wazazi kuwa.. Akifika mjini atanipeleka shule ,lakini Hali ilikuwa tofauti kwani tulipo fika tu mjini..aliishia kunikabidhisha kwa madam ?? sio Siri bado nahitaji elimu.

MIMI: unamaanisha unataka kurudi shuleni?

SIKITU: hapana

MIMI: kwahiyo utaipaje elimu sasa, Kama hutaki kurudi shule!??

SIKITU: plzzz!! Naomba uwe unanifundisha baadhi ya masomo lakini sina pesa ya kukulipa.

MIMI: Ahhm hilo mbona dogo tu sikitu, wala hata lisikuumize kichwa, ... Nitakuwa nakufundisha kila Nimalizapo kuwafundisha kina Brighton na jackline hapo nyumbani, Sawaa??

SIKITU: hapana, mummy na aunty Jackline sidhani Kama watakubaliana na hilo!! Isitoshe wananichukia Sana... Na wakisha jua tu.. Haki ya mungu Watanifukuza humu ndani! ?? ??

MIMI: kwahiyo Unashauri tufanyeje labda?

SIKITU: aahhmm nitakuwa nakuja nyumbani kwako

MIMI: * moyo wangu ulishtuka *. Lini hiyo na inawezekanaje kuja kwangu ?
 
SIKITU: huwa naenda sokoni kununua baadhi ya mahitaji ya familia, kila baada ya siku tatu, hivyo nitakuwa natumia lisaa limoja mpka mawili Hapo kwako ukinifundisha kabla ya kwenda sokoni. Na pia kila ijumaa usiku.. Maana watu wote hapa nyumbani huwa wanaenda mkesha.. Hivyo huwa nabaki peke yangu labda na mlinzi kule getini. Au mkeo hatokubaliana na hilo??

MIMI: **nikacheka kidogo*mke?, Mimi Sijaoa bado, na wala siko kwenye mahusiano yoyote kwa sasa.

SIKITU: kwahiyo unamaanisha kuwa hauna mpenzi??

MIMI: ndiooo!!

SIKITU:eek:ooohhhh asante mungu!! ?? Maana, Kama ungekuwa na mpenzi angezania..kuwa Nataka kutumia mwavuli wa masomo ili nikupate ????, daah bora.

baada ya mazungumzo na sikitu, nilibaki nikijiuliza... Jinsi ambavyo vipindi vya usiku wa manane vitakavyo kuwa ?? ohoo sikitu utanisababishia matatizo mapemaaa jamani ????????****

Basi, Wiki iliyofuata. Sikitu alianza rasmi masomo nyumbani kwangu kila baada ya siku 3 za soko. Alikuwa Akija na kutumia kati ya saa moja hadi masaa mawili hivi kabla ya kwenda sokoni.

Ukweli ni kwamba kipindi chote hicho , Sikutokea kuvutiwa kabisa kimapenzi na sikitu, nadhani hii kwa kiasi kikubwa ilichangiwa na Aina ya mavazi aliyo kuwa akivaa. Mara nyingi sikitu amekuwa akivaa magauni marefu... Na minguo mingine mikubwa mikubwa inayo mfanya aonekane Kama bibi kizee ..hata nywele zake pia amekuwa akizifunga kwa mpira (rubber band) ?? ??

Nakumbuka kuna siku tukiwa chumbani kwangu, nilijaribu kumgusia sikitu kuhusu mavazi yake! Akasema ni Madam Ndo Aliyetaka avae vile na hata siku moja asithubut kuvaa mavazi tofauti na Yale Madam Anayo-mnunulia. Hivyo Hakuwa na lakufanya zaidi ya kukubali tu.

kwa kipindi kifupi tu, nikajikuta namwonea Sana huruma **??

Niliendelea kumfundisha hesabu na kiingereza kila wakati alipo kuja nyumbani kwangu huku nikiwa nampitia homework za hapa na pale Mara kwa Mara!

Masikini sikitu Hakuwa na pesa za kunilipa hivyo akawa ananiletea chakula!

Aliiba chakula kule kwenye jumba la kifahari siku zote za soko!! na kuniletea!!

na wakati mwingine alikuwa Akiniandalia supu kabla hajaondoka. Kuna wakati pia, alikuwa akinipitishia baadhi ya vitu alivyo toka kuemea!! Kama matunda,, nyama na vitu vingine vingi hasa vinywaji.

Kwa upande wa jackline, aliendelea na tabia yake ya kukwepa vipindi Kama kawaida. Mwanzoni vilikuwa vipindi vitano(5) hadi vinne(4) kwa Wiki , Mara vikawa vitatu(3), Mpka Akawa anahudhuria vipindi viwili (2) tu kwa wiki. Sikuthubutu kumwambia Madam kama Nilivyo-amriwa vinginevyo, Jackline angenifukuzisha kibarua changu .nilichokuwa nafanya wakati wa vipindi na Jackline ni kukaa tu sebureni nikiangalia sinema zenu wakati huo yeye akiwa katoka nje kabisa ya nyumba au pengine akiwa kajifungia chumbani kwake.

Hali hii ilinipa wasiwasi Sana, sikumoja nikaamua kuongea na sikitu chumbani kwangu alipo kuja kwaajili ya kipindi kuhusu tabia ya jackline.

MIMI: Sikitu, Hivi jackline ana matatizo gani lakini ?, yani ni mvivu sana, na Mara nyingi amekuwa akikwepa vipindi ...daah Mpka nachoka jamani!!!!!

SIKITU: *akacheka kwa muda *: sasa kwani ww unashida gani... Mimi naona Kama anakupunguzia Stress tu.... Nashangaa kuona ukilalamiiiiiika!!!

MIMI: je!, naa ikitokea akafeli mitihani yake ya mwisho kwa mara nyinge tena?!!, ww huon kama Madam hato nielewa kabisa??? Yani hata Sijui Atanionaje maskini wa mungu ?? ?? ??

SIKITU: yani hapo Hakuna utachoweza kufanya zaidi ya kwenda naye tu hivyo hivyo Maana hata kabla Yako, walishapita walimu wengine watatu...lakini Mara baada ya kufikisha Malalamiko yao kuhusu tabia ya Aunty jackline

Aunty Jackline alidanganya kuwa wanamtaka kimapenzi... Eti wanataka kulala naye, na hivyo Madam akawafukuza kazi .

MIMI: Aiseeee . . Kwa hivyo Nitafanyeje sasa???

SIKITU: Ww tii kila kitu anacho sema aunty jackline Kama kweli Unataka kuendelea na kazi Yako.

* Hapo nikajifikiria,,,, lakini sikuweza kupata jibu *nitafanyaje sasa ?? daah

Hatimaye ni miezi miwili imekatika tangu nianze kufundisha kwenye jumba lile la kifahari na ni wiki ya pili ya masomo kwa sikitu nyumbani kwangu!

Sikitu amekuwa akionyesha bidii Sana , Tayari nishaanza kuona mabadiliko, amekuwa akifanya vizuri katika mazoezi yote niliyo kuwa nampatia!

*kwa muda mfupi sana, nikagundua kuwa sikitu mbali na kuwa mfanyakazi wa ndani...alikuwa na akili ya kipekee Sana, akili nyepesi na inayoshika mambo haraka , sema tu ndo hivyo familia aliyozaliwa ?? ?? *

Wiki iliyofuata, Sikitu alifika nyumbani kwangu kama kawaida , akionekana mwenye furaha Sana! na kuniambia.

SIKITU: SIR ALVINE , "sasa tunaweza kuanza rasmi vipindi kila Ijumaa usiku!!

aliongea huku akitabasamu

MIMI: nilishangaa kidogo . Lakini hilo linawezekanaje ? Wapi?? Naa ni muda Gani?

SIKITU: nyumbani kwa Madam . .

MIMI: lakini si unajua kabisa kuwa hilo halitawezekana. Na vipi kuhusu mlinzi!? Unataka kuniua?

SiKITU: hutakiwi kuhofia chochote, Kama ni mlinzi tayar Nimejadili naye,, naa amefurahishwa Sana na wazo langu la kutaka kusoma... Na amesema yuko tayari kunisaidia .. Ila tu anataka muonane naye, ili apate uthibitisho !

..

..

...

•Nini kinaenda kumtokea mwalimu wetu wa sayansi?????

•ni ipi hatma ya jackline!?

•neno moja kwa sikitu plz??

..

MIMI: una uhakika ,kuwa nitakuwa salama?

SIKITU: Yeaaah Nina Uhakika .

**sikujua kuwa huo ndo ulikuwa Mwanzo wa matatizo !! ?? *

Siku hiyo, baada ya kuwa tumemaliza vipindi , Sikitu alinikumbatia kwa furaha kisha akanibusu kwenye Lips zangu?? Nilikuwa Kama niliye patwa na mshtuko kidogo, Huku kwa mbali nikihisi bilinganya langu Likianza kuamka toka usingizini.

SIKITU: *Huku akinitizama machoni kwa ukaribu ****samahani sir!! kwa kile nilichofanya. Nimefanya hivyo ili angalau kukuonyesha kuwa natambua Sana mchango wako wa kunifundisha kijakazi na mtu maskini Kama Mimi.

MIMI: okay... Haina shida sikitu , nimekuelewa.

Sikitu aliondoka kwenda sokoni, na baada ya muda kupita ,akarudi nyumbani kwangu kama kawaida ili aweze kuniachia vyakula kabla ya kurudi kwenye jumba la kifahari , jumba ambalo unaweza kuliita " white house ".

Jumatatu iliyofuata . Nikaelekea zangu, white house kwa ajili ya vipindi Kama ilivyo kuwa kawaida. Nilipogonga geti , mlinzi akafungua kisha akanmbia " Mwalimu kuna jambo nataka kuongea na wewe ,tafadhari.

Basi, Tukaelekea pembeni kidogo ilipokuwa nyumba ya mlinzi, tukaingia.. Akanipa kiti nikakaa... Na hapo mazungumzo yetu yakawa Kama ifuatavyo .

MIMI: Peter, ahhmm umesema unataka kuongea na mimi . Natumaini hakuna shida yoyote kabisa!!?

MLINZI:. Ndio , sikitu alinifuata na kunambia kitu flani sasa nikaona ni bora nipate uthibitisho kwanza kutoka kwako, na hiyo ndo sababu ya mimi kukuleta hapa.

MIMI: aahhmm kitakiwa kitu gani hicho ?

* ikabidi nijifanye Kama sijui chochote *

MLINZI: kanambia kuwa tayri alikwisha anza hudhuria vipindi nyumbani kwako, lakini muda ndo umekuwa hautoshi hivyo akaomba uwe unakuja kumfundisha hapa kila siku ya ijumaa usiku ,wakati Madam Na Familia yote wanakuwa wameenda kwenye mkesha!!

MIMI: ndio, alinambia . Kwa hiyo mpango mzima uko vipi? ?

MLINZI:iko hivi!!, siku hiyo utatakiwa kufika hapa mapema saa tatu usiku , ukishafika nitakupeleka kwenye chumba changu utakaa huko mpka pale familia nzima watakapo toka kueleka kanisani, kisha utatoka na moja kwa moja utaenda ndani kuonanan na sikitu. Naa itakapo fika saa kumi na moja Kasorobo alfajiri , haraka utatakiwa kurudi chumbani kwangu.. Utatulia hapo... Mpka Madam Akisharudi... Baada ya hapo Taratiibu ntakufungulia uondoke.! Umenielw huh?

duuh bonge la mpango ??? ?

MIMI: daah Peter, ww ni noma Sana .sio kwa mipango hiyo ??????, Asante sana.

MLINZI: nilifurahi Sana pale sikitu alipo nambia kuwa anahitaji kupata elimu. Aaahm mbali na hilo sikitu ni binti mpole,,na mwenye huruma . siku zote amekuwa ni mtu wa kujituma Sana, amekuwa akinisaidia mimi hasa kwenye swala La msosi hapa nyumbani, hivyo lazima nitamsaidia,,,,

Lakini kwa masharti hayo " mawili "

MIMI: masharti yapi hayo tena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom