Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa na inakufanya mtu unakua passive sana.. Mimi ni mmoja ya watu wanaowatukana sana wale wanaotoa ushauri mwenye uzi wetu pendwa wa mwisho wa mwezi unaoulizia kama mshahara umetoka. Waajiriwa tujaribu kuchukua ushauri sio usenge wa kupinga kila kitu.
Taabu kwelikweli
 
Kujiajiri sio rahisi kama linavyoongelewa mkuu. Utahitaji determination na capital kubwa. Pambana but don't have high expectations and leave room for disappointments. Mwisho kabisa weka akiba ya maneno. Walioajiriwa sio villains
Sawa mkuu
 
Ukielewa Code za mtaa Hustle inakua rahisi sanaaaaaaaa me niliacha kazi baada ya kupewa code na mwanangu alieishia form 2 kwa kukosa ada ila kwa sasa ni Fogo hapa mbeya na deal zake sio kitoto
 
Nakupa ujobless, ww nipe hy kazi yako
Mbaga Jr nakumbuka way back ulikua mfuasi wa Ccm ulikua unawatetea sana humu jukwaani kabla ya kupiga U-turn na kujielewa na kujua mabaya ya Ccm... Watu mna moyo kama kweli ni jobless kwa the way ulivyokua frontline kuwatetea wale manyang'au
 
Cjawah kuwatetea ccm
Cjawah kuwatetea chadema
Cjawah kuwa shabiki cha chama chochote kila hapa nchini na wala sijawahi kupenda siasa za Bongo.

Tatizo lenu mnadhani kila anayewapinga n adui wenu na kila anayewasifia n rafiki yenu.
 
Mkuu nakukumbuka vizuri wala sijakufananisha... mi mwenyewe sina chama, ila siwezi nikaunga mkono vitu vya kipumbavu eti kisa sina chama.. wewe nakukumbuka na vizuri mkuu sio kwa ubaya..
 
Mkuu nakukumbuka vizuri wala sijakufananisha... mi mwenyewe sina chama, ila siwezi nikaunga mkono vitu vya kipumbavu eti kisa sina chama.. wewe nakukumbuka na vizuri mkuu sio kwa ubaya..
Sawa endelea kukumbuka, n vyema.
 
Sio kweli. Kama biashara inastahimili kukupatia pesa za matumizi yako yote maana yake ishakua na imekomaa/ Mwanzo ndio huwa mgumu kutegemea biashara ili uishi. Na kama uko kwenye biashara muda mrefu na haiwezi kugharamia maisha yako afadhali uache tu ufanye mambo mengine yenye tija.
Ni kheri urudi utumwani tu... Wengi hawana guts za kujiajiri na ni sawa pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom