Unaopa ban 😃 ila kwenye mada yko unaweza ajiri na humu wewe umeajiriwa mfano mzuri ni mimi , muhimu uweke mifumo tuAisee ngoja nikae kimya, ayalishapita hayoo
Ban mbaya mkuu...Unaopa ban 😃 ila kwenye mada yko unaweza ajiri na humu wewe umeajiriwa mfano mzuri ni mimi , muhimu uweke mifumo tu
Naelewa, ambacho sikubaliani na wengi ni namna tumewa-demonize walioajiriwa na wanaotafuta kazi. Sikubaliani na jinsi tunaamasisha watu kujiajiri kwa kufanyia rejea ya top elites wakati kiuhalisia kwenye huyo mmoja aliefanikiwa kuna mamia ya watu waliofeli. Umesema unataka kujiajiri? Utaona mziki wake, kwa sasa weka akiba ya manenoYes, kabisa ila unajua kwanini tunasema ni utumwa!?
Wazazi wetu walienjoy ajira maana kulikuwa hakuna uchafu kama leo, kulikuwa kupewa kipaombele. Leo mwajiriwa ni mtumwa. Nakumbuka mzee wangu kala maisha sana serekalini at his prime. Ila leo walio kwenye position yake wanakula vumbi tu.
Si semi kuwa ndo uhalisia wa kazi zoote ila, Ukija kuangalia mpasuko wa bei, na soko la ajira kilivyo gumu ndo utaamini ni nacho kiongelea hapa.
Badilisha jina hii I'd inatia hasira sana😃 kwa hiyo bwashee mimi huwa natambo za pesa?Ban. mbaya mkuu...
Lazima iwe well paying job ambayo inakua uhuru wa diversity. Wabunge na mawaziri ndo zao hizoo.
Nchi hii kama hao tunao wangapi bro au na wewe upo kundi hiloUsije ukachukulia uhalisia mzee, wakina MO, GSM na AZAM hawazijui shida
Uhuru ni PESA na MUDA,uhuru sio kua machinga,ama kua na fremu inayokulazimu kuamka asubuhi na mapema kuwawahi watejaHakuna kazi Nzuri kama ya kufanya ukiwa na uhuru sio usimamiwe na bosi au fomen.
Hata Mimi nilichoshwa na hayo maisha nimeamua kuingia mtaaani Sasa nipo HURU.mungu ana bless
Khantwe kama khantweNchi hii kama hao tunao wangapi bro au na wewe upo kundi hilo
Lakini ni bora kuliko kuwa unemployedNa huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
Na ndio hao wenye pesa,,Tanzania maisha ya mfanyakazi mwenye mshahara wa mwisho serikalini ni Bora zaidi kuliko ya mfanyabiashara unayemuona mkubwa😆😆😆Ubaya wa hizi kazi Zina kumaliza on all levels of existence
Physically: unafanya kazi on repeat kama mashine
Mentally: inabidi sio tu uhandle kazi yenyewe pia mood swings za mwajiri wako, akiamka vibaya.
Spiritually: wanakudrain your life force energy. Ule uhuru wa kuweka vionjoo vyako haupo unakuwa haupati kitu ndani yako ufanyapo kitu, bali unafanya for the sake of money.
Yaani ndo maana Wanaotumia pharmaceutical wengi ni waajiriwa
ChaiNa huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
NaamKhantwe kama khantwe
Kazi/shughuli yoyote inayokupa kipato halali kwa ajili ya maisha yako ni ajira, sasa iwe unajisimamia au unasimamiwa, zote ni ajira sbb end result ni moja, yaani hela. Wazungu walipoona gharama za kusafirisha watumwa ni kubwa wakaamua kubadilisha mfumo wa utumwa. Nitafafanua kidogo hapa ili mjiongeze.Na huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
Wewe utakua meneja wa bar flani hapa mjin, wewe kila saa upo bar?Sio makasiriko wala , nakushauri tu 😃 uzi wako kukaa kwa shemeji bado naukumbuka 😃 halafu nipo bar makasiriko ya nini sheikh