Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Mmesoma course hazina kichwa wala miguu mnaanza kusema kuajiriwa ni utumwa kwasababu tu hamuwezi kupata ajira tena na hamna matumaini.
Mlikimbia Shule maisha yamewatia kila sehemu, mnasingizia eti kuajiriwa ni utumwa kwasababu tu mnajua hamna elimu.
Nyie endeleeni kuteseka kujiajiri sisiemu wanafurahi kuona mnhangaika kazi yao kuwatungia majina ya Maafisa usafirishaji, Machinga, Maafisa lishe, nk.
Mtu umefungua kibiashara uchwara cha laki5 au million eti unasema kuajiriwa ni utumwa, wakati hata hela ya fremu ya mwezi 1 tu huna MATAKO YAKO.
Mimi nipewe hiyo ajira hata leo sitakataa maana waliojiriwa wanafaidi nchi kwa mishahara ya bure kazo yao kuamka asubuhi na kwenda kupiga stori ofisini
Unaugulia utumwa wa ajira ukiwa wapi?
Wewe ndo wale walojikatia tamaa na tayari umri umekutupa mkono
 
Mm kazi ambayo uwezi kukua , innovation , rewards na kuongeza kipato aj kunegotiate na mwajiri ni kupoteza mda labda kuwe na allowance nzuri na mipigo tele , sasa una mshahara chini ya milion kwa miaka mitatu hela ikiongezeka hata laki moja aifiki na mtu unakuta yupo comftable kabisa ,hell no lazima uchunguzwe kwanza
Ni wanaona kawaida tu
 
Na huu ndo ukweli Mchungu...

Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
View attachment 3641392

Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.

Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.

Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?
Tatizo ni KUFANYA JAMBO LILE LILE HADI MIAKA 60?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom