Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Mpumbavu mmoja kabendera kwaio alitaka tufanyenye na mwendazake kaenda zake
 
Yule jamaa kuwa na kundi lake la kihalifu la wasiojulikana nje ya mfumo rasmi wa kiserikali mbona lilikuwa ni jambo ambalo lilikuwa lipo bayana. Nani ambaye hakushuhudia kutokutii kwake kwa matakwa ya katiba, sheria na kanuni, zaidi ya matamko yake mengi yenye ukakasi mwingi.

Matendo yake yanathibitisha uwezekano wa uwepo wa jambo hilo. Kama aliweza kudukua maongezi ya viongozi wastaafu, angeshindwa nini kuwafanya chochote kutokana na kiburi cha mamlaka makubwa ya kikatiba aliyokuwa nayo.

Mimi nafikiri, ili watu wasizidi kutoa machungu yao juu ya mtu huyu, ni vyema nyuzi zote juu yake ziunganishwe kwenye uzi mmoja tu. Ni lazima povu juu yake litatoka.

Kwa yale aliyowafanyia Kabendera, Lisu, Ben Saanane, n.k. unafikiri wote hawa wanaweza kuwa na kumbukumbu nzuri juu yake!? Yeye aliamini kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kwa hiyo basi acha watu waongee ukweli wote juu yake.
 
Jiwe alikuwa afuati katiba wala sheria ,kabendera ana ushahidi wote,Jiwe angemfunga kweli msoga ,wewe aujajiuliza kipindi chote cha jiwe ,rizmoko alikuwa kimya hakuinua mdomo kabisa...Jiwe alimtukana kabisa msoga kwamba anawashwa washwa hadi kina hapi nao wakamtukana msoga aujajiuliza?
 
Kama huijui sheria basi tumia tu hata uzoefu wako wa kuishi nchini Tanzania

Uzushi mwingine ni wa kipambaf!

Jumaa kareem
Wakati wengine walivyopambana kuukataa hizi sheria za mwendo kasi,za hati ya dharura mlijidai kutokuwa na habari sasa zinatumika vibaya mnjidai kukurupuka kutoka usingizini,🥱
 
Back
Top Bottom