Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 376
- 450
Kwanini MTU ujiwekee kinga ?hili swali linasumbua wengi.
Mpaka nafsi ikamsuta akaamua kuandika aliyofanya ndipo akafaHivi ndugu zangu ni kwanini uwezo wetu wa kufikilia unakuwa duni sana kiasi hichi.
Unataka kuniambia hawa wabunge na viongozi wengine wote hawaoni upungufu wa sheria hii kuwa ni mwanzo wa maovu kama haya, angalia mambo ambayo mkapa kayafanya mpaka anaona aibu kuongea na watu, lakini eti sheria inamlinda.
Nadhani sheria hii ilikuwa inastaili enzi hizo za Baba wa Taifa waliokuwa waadilifu na wazalendo kweli ambao mpaka sasa tunatamani wangekuwepo, lakini sio enzi hizi za akina mkapa kikwete, tunaoomba hata wapate matatizo yoyote na watoweke muda wowote kwa jinsi walivyotutesa na wanavyoendela kututesa watanzania,
Na ni kwanini hata wabunge wasishirikiana hata katika hili jamani, hii katiba yetu mbona mbovu namna hii jamani, watu wanaiangalia tu kwa sababu ndo inawapa ulaji tu sio
Poa, ila iko siku itafika tu na mambo yataenda kama tunavyotaka
AiseeHabari wakuu!
Mimi ni raia mwema wa nchii hii ya Tanzania.
Kuna Rais mstaafu pia ni marehemu ninataka kumshitaki.
Najua katiba yetu inatoa kinga kwa Rais pindi awapo madarakani na akistaafu pia, sijui kama ile kinga anakuwa nayo hata baada ya umauti. Kama ile kinga inaisha pindi anapofariki basi nitamshitaki kwa kosa la kushindwa kuilinda katiba au kwa kosa la kushindwa kuwalinda wananchi.
Mfano: Watu wamepotea , kuuwawa na wengine kutekwa kipindi cha uongozi wake lakini hajawahi hata kulaani, kukemea au kuwawajibisha aliowapa kazi ya kuzuia vitendo hivi.
Kwa ufupi naweza kumuhusisha na vitendo hivi haramu
Nitamshitaki ili mahakama itutafsirie kama atatiwa hatiani au la!
Ok
Mkuu, hivi ni kwa nini?Maccm yanaogopa Katiba Mpya kuliko hata kifo!! Inashangaza sana.
Ili waendelee tu kututawala milele.Mkuu, hivi ni kwa nini?
Kwa yule yote yaliwezekanaKama huijui sheria basi tumia tu hata uzoefu wako wa kuishi nchini Tanzania
Uzushi mwingine ni wa kipambaf!
Jumaa kareem
Kabendera ana matatizo ta akili.Kama huijui sheria basi tumia tu hata uzoefu wako wa kuishi nchini Tanzania
Uzushi mwingine ni wa kipambaf!
Jumaa kareem