Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Tanzania ni kama Afrika Kusini. Rais hawezi kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani. Rais Zuma ameshtakiwa kwa makosa ya kabla hajawa rais. Katiba yao hairuhusu kumshtaki kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais. Tanzania haki kadhalika. Rais anaweza kushtakiwa kwa makosa yoyote aliyofanya kabla hajawa rais au baada.

Kwa Brazil na South Korea ni kinyume. Tuheshimu katiba zao nasi tuheshimu yetu. Subirini siku Lowassa akiwa rais (Joke), ndio mbadilishe katiba ili tumfunge kisawasawa maana lazima ATAIBA TU! Hawa wengine, WAACHENI WAPUMZIKE!
Zuma alishitakiwa akiwa rais kwa kutumia fedha za umma kukarabati jumba lake na mahakama ikatoa hukumu kuwa alipe. Hii ya jana wamefukua makaburi, hata huku kwetu wangefanya hivyo ingekuwa somo zuri kwa future presidents.

Vv
 
Tanzania ni kama Afrika Kusini. Rais hawezi kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani. Rais Zuma ameshtakiwa kwa makosa ya kabla hajawa rais. Katiba yao hairuhusu kumshtaki kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais. Tanzania haki kadhalika. Rais anaweza kushtakiwa kwa makosa yoyote aliyofanya kabla hajawa rais au baada.

Kwa Brazil na South Korea ni kinyume. Tuheshimu katiba zao nasi tuheshimu yetu. Subirini siku Lowassa akiwa rais (Joke), ndio mbadilishe katiba ili tumfunge kisawasawa maana lazima ATAIBA TU! Hawa wengine, WAACHENI WAPUMZIKE!
Naona hujanipata bado. KOSA la RUSHWA la SILAHA MOJA ya MENGI ikiwa ni PAMOJA na alipokuwa MADARAKANI,
1.Alitumia mamillioni ya dola za Kimarekani ili KUJENGEA WAKE ZAKE 5 JUMBA huko kijijini.
Hiyo case pia INAMKABILI na nyingine nyingi
.
Jaribu kujifahamisha kidogohalafu rudi tuendelee na mjadala.
 
Shige2, Tanzania hatuwezi kufikia huko kwa demokrasia na umadisikini huu tulio nao. Kwetu mtu anaiibia nchi analindwa na vyombo vya dola na kusifiwa na masikini.

Hizo nchi zote ulizozitaja ziko kwenye uchumi wa kati na zina demokrasia iliyostawi, sisi huku demokrasia yetu inarudi nyuma kwa kisingozio cha maendeleo, uwazi unapigwa vita na maamuzi muhimu yanafanywa gizani na watu wachache ambao hatuna hakika na usafi wao.

Vv
Naona SI MUDA MREFU hayo YATABADILIKA ili kila mtu awajibishwe.
Nchi hii si ya watu WACHACHE ni yetu sote.
Mabadiliko hata KISHERIA yanakuja kwa kasi.
 
Naona SI MUDA MREFU hayo YATABADILIKA ili kila mtu awajibishwe.
Nchi hii si ya watu WACHACHE ni yetu sote.
Mabadiliko hata KISHERIA yanakuja kwa kasi.
Mmh, mimi siamini kama tutafanikiwa ikiwa hatutaki uwazi na kufinya demokrasia. Tutaishia kuaminishwa na viongozi nasi kuitikia ndio maana watawala hawako tayari kusikia hoja kinzani. Itakuwa hivi; vyombo vyote vitacheza wimbo wa watawala nasi tutakuwa tunaitikia NDIYO MZEE na wale wasioweza kusema ndio watakuwa wanatoroka na kuishia kuwa wahamiaji haramu kama wafanyavyo wenzetu wa Ethiopia na Eritrea.

Vv
 
Mkuu nakuuliza Je ni ZIPI TABIA/Characteristics ZA WAHUTU kama unavyodai?
Wahutu mkuu chige2 ni watu ambao wanaamini ktk wao tu na hata siku moja usijaribu kuwakosoa.
They don't bring their people together to lead the nation rather control the country with ethnic or a small group..

Ni tabia hatari sana kutotambua kwamba taifa lazima linakuwa na mchanganyiko wa watu na tabia.
Aina yao ya uongozi huishia kuigawa nchi mapande mapande.
Hata uhesabu mazuri yao lazima yote utakuta ni "material things".
Naomba niishie hapo ..
 
Tanzania hatuna shida sana na Viongozi wetu wastafu kama hizo nchi. Naomba wimbi la kushitaki viongozi waliobariki/walioua raia wasio na hatia kule Iraq, Cossovo, Libya, Palestine, Nagasaki, Syria, Yemen, Soweto, Vietinam n.k wapelekwe The Hague
Aisee!!!
 
Siku Watanzania tukiamka lazima tuwafikishe Kitambi na Kikwete na huyu Sizonje.
Tusiwe personal humu na kutaja majina ya watu. Tujadili tu kwa ujumla. Kuna Mawaziri wa zamani labda na WASASA sijui ambao ni MABILIONEA.
WALIZIPATA WAPI hizo HELA?
 
Maendeleo ya vitu huku umasikini wa watu unaongezeka?

Maendeleo ya vitu huku ajira hakuna na watu wanapunguzwa makazini?

Maendeleo ya vitu huku watu wanamaliza vyuo na hawana pa kwenda?

Maendeleo ya vitu huku watumishi wa umma wamesahalika?

Maendeleo ya vitu huku mazao ya wakulima yanakosa masoko?

Maendeleo ya vitu huku uchumi unalalamikiwa?

Maendeleo ya vitu huku watu kila siku wanatekwa au kupotezwa?

Maendeleo ya vitu huku chaguzi zinavurugwa?

Lazima tu-balance haya mambo vinginevyo tunatengeneza bomu litakalokuja kutulipukia.
Pia watu wajifunze kujiajiri
 
Back
Top Bottom