Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM na WABUNGE wa vyama vingine kwa PAMOJA wataungana ili kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}
you hapa ndo umenoa...mtukufu alisema acha wazee wapumzike coz wameifanyia mengi mazr nchi yetu na kwamba Yuko tayari kuwalinda!! Sijui Kama unajingine.
 
Nashukuru unaelewa historia ya hao WAHUTU ila nikwambie kuwa ile ya "wa kimara wabomolewe" na "hawa wa mwanza itumike human face wasibomolewe" ni tabia ya kibaguzi na kamwe sio ya kisukuma.
Mimi nimekaa pia na wasukuma tangu udogo wangu.
Bado nashawishika ndg Tz tuna tatizo kubwa sasa kwa huyu rais ..

Ni swala la muda tu na wewe utanielewa.
Saivi huwezi kuelewa sababu bado una matumaini flani.
Mkuu nimekuelewa sana na wala sikupingi ni kubadilishana mitazamo na mawazo tu.
Ukimwangalia sana Magufuli kitendo alichofanya Mwanza HAKIKUWA cha UBAGUZI aliteleza katika hali ya upungufu wa kibinadamu.
Mara nyingi Magufuli hufanya maaamuzi mengine tata hasa ANAPOFURAHI sana kupita kiasi.
Na anataka instant results/Matokeo ya pao kwa papo.

Nafikiri wasaidizi wake wamemwelewa na hawana shida naye.

Maana anaweza kutoa tamko watu wakaanza kutazamana na kushangaa wakati yeye anawashangaa "MNASHANGAA NINI?"
Kulingana naye yeyeTAYARI kishamaliza na kufunga kazi!.Ukibaki unashangaa shauri yako.

Yaani sometimes anakuwa a bit emotional na impulsive/HATABIRIKI.
Na huo tu ndo udhaifu wake.

Ndo maana wengi hawakumwelewa alipotoa tamko hilo akiwa Mwanza as if Mwanza ndo Tanzania NZIMA.
Yeye alisema na kumaliza. Wengine mnashangaa yeye kaenda zake.

Hivyo ndo sisi wote tuliumbwa tofauti.
Kwa mfano hatuwezi kumfananisha Rais Magufuli na rais TRUMP wa Marekeni.

Yeye ndo basi tu. ANAFUTA LEO huyu, ANALETA MWINGINE ,KABLA HAJAKAA SAWA ANABADILISHA WASHAURI wake kila leo
Akienda mitandaoni ni kutukana wengine na HAJALI!!!

jAMANI afadhali Magufuli wetu tumvumilie ukilinganisha na TRUMP.
Sasa Trump anaaamka tu anasema "TUNAOONDOA majeshi SYRIA" Mshauri anamshauri ANAKATAA na kusema HAMNA KAZI nenda nyumbani.

Waziri wa masuala ya kigeni anamshauri kuhusu N/Korea na kutoa tamko.
Trump ANAMPINGA kupitia TWEETER na kusema hamna kazi.

Jamani AFADHALI MAGUFULI wetu hajatufikisha hapo jamani.
Rais wa Marekani ni mtu wa ajabu kati ya Marais wote waliowahi kutawala nchi hiyo.
 
Umeandika vitu gan hapo
Pole mkuu,niliweka na lugha yangu. yaani utafsiri wa moja kwa moja.
Kwa kifupi. WOTE waliojitajirisha KIFISADI.
Leo hii BINTI wa rais Mstaafu Dos Santos wa angola ambaye ni tajiri sana ANACHUNGUZWA na mkuu wa mashtaka ya serikali bila KUJALI kama baba yake alikuwa ni RAIS au la!
Kuhusu UFISADI wa Mafuta ambayo Angola hutegemea 95% ya mapato yake hutegemea mafuta. Hebu tungoje wimbi hili linavyovuma.
 
Pole mkuu,niliweka na lugha yangu. yaani utafsiri wa moja kwa moja.
Kwa kifupi. WOTE waliojitajirisha KIFISADI.
Leo hii mtoto wa kiongozialoyestaafu wa angola ambaye ni tajiri sana ANACHUNGUZWA na mkuu wa mashtaka bila KUJALI kama baba yake alikuwa ni RAIS.
Kuhusu UFISADI wa Mafuta ambayoAngola hutegemea 95% ya mapato yake hutegemea mafuta. Hebu tungoje wimbi hili linavyovuma.
Nmekusoma
 
Mmh, mimi siamini kama tutafanikiwa ikiwa hatutaki uwazi na kufinya demokrasia. Tutaishia kuaminishwa na viongozi nasi kuitikia ndio maana watawala hawako tayari kusikia hoja kinzani. Itakuwa hivi; vyombo vyote vitacheza wimbo wa watawala nasi tutakuwa tunaitikia NDIYO MZEE na wale wasioweza kusema ndio watakuwa wanatoroka na kuishia kuwa wahamiaji haramu kama wafanyavyo wenzetu wa Ethiopia na Eritrea.

Vv
Muulize Lowasa alipoanzisha mtandao alikuwa anaitakia nini nchi hii,
Na kashindwa mtandao akamnunua mbowe a.k.a. Jim kill ill mbowe.... Shida ikaanzia hapo chagadema wote wakaugua akili na sasa ni mabingwa wa matusi, copy and challenge and so... So.....
 
Muulize Lowasa alipoanzisha mtandao alikuwa anaitakia nini nchi hii,
Na kashindwa mtandao akamnunua mbowe a.k.a. Jim kill ill mbowe.... Shida ikaanzia hapo chagadema wote wakaugua akili na sasa ni mabingwa wa matusi, copy and challenge and so... So.....
Sina hiyo access na wala sio mfuasi wake .

Vv
 
Muulize Lowasa alipoanzisha mtandao alikuwa anaitakia nini nchi hii,
Na kashindwa mtandao akamnunua mbowe a.k.a. Jim kill ill mbowe.... Shida ikaanzia hapo chagadema wote wakaugua akili na sasa ni mabingwa wa matusi, copy and challenge and so... So.....
Mkuu sijajua kwani jina la chama hicho sasa CHAGADEMA?
Kuna mambo mitandaoni. Hilo ni jipya kwangu.
 
Wahutu mkuu chige2 ni watu ambao wanaamini ktk wao tu na hata siku moja usijaribu kuwakosoa.
They don't bring their people together to lead the nation rather control the country with ethnic or a small group..

Ni tabia hatari sana kutotambua kwamba taifa lazima linakuwa na mchanganyiko wa watu na tabia.
Aina yao ya uongozi huishia kuigawa nchi mapande mapande.
Hata uhesabu mazuri yao lazima yote utakuta ni "material things".
Naomba niishie hapo ..
Wachaga dema wanaamini wao ndio bora kuliko yeyote asiye wao, nyie was****** hivi nchi iliyogawanyika ikoje?
Walimu wangapi wanafanya kazi nchi nzima bila kujali who is who and from which party of the country brings his mothelaland.
Polisi wangapi wanafanya kazi popote bara na visiwani bila kinyongo (uzalendo)
Kila idara ya umma nchini Tanzania imewakusanya watanzanzania woooote bila kujali ujinga wa chagadema.
Sasa nyie wauza chama kazi yenu imebaki hizi propaganda za bilicanas alipokuwa akiuza K Huyu mange Kimambo wenu.... Ole wenu

Chonde chonde msivute bangi zenu na kutuharibia amani na utulivu na uzalendo wa nchi hii... Pambaneni na hali zenu..... Ohoooooo!
 
Wachaga dema wanaamini wao ndio bora kuliko yeyote asiye wao, nyie was****** hivi nchi iliyogawanyika ikoje?
Walimu wangapi wanafanya kazi nchi nzima bila kujali who is who and from which party of the country brings his mothelaland.
Polisi wangapi wanafanya kazi popote bara na visiwani bila kinyongo (uzalendo)
Kila idara ya umma nchini Tanzania imewakusanya watanzanzania woooote bila kujali ujinga wa chagadema.
Sasa nyie wauza chama kazi yenu imebaki hizi propaganda za bilicanas alipokuwa akiuza K Huyu mange Kimambo wenu.... Ole wenu

Chonde chonde msivute bangi zenu na kutuharibia amani na utulivu na uzalendo wa nchi hii... Pambaneni na hali zenu..... Ohoooooo!
Duh! Naona huo ni msomo mkali.
Sijui kama atakujibu.!!
 
View attachment 737179
Rais wa zamani wa A/Kusini Jacob Zuma akiwa kizimbani.
View attachment 737185
Rais wa zamani wa Brazil Lila De Silva akiwa kizimbani.
View attachment 737187
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park alipokuwa akipelekwa Mahakamani.

Kumekuwa na wimbi jipya sana linaloendelea duniani la kushitakiwa viongozi wa nchi na WASHIRIKA wao pinde anapoachia madaraka hasa kutokana na UFISADI.

1.Tumeona rais wa zamani wa Afrika Kusini akiwa kizimbani kwa makosa ya UFISADI baadhi ya mashataka ni MANUNUZI ya SILAHA miaka ya 90. !!!!
Huku mshirika wake MKUU GUPTA ambaye ndiye aliyekuwa akimsaidia Zuma yuko matatani.
anatafutwa.

2.Rais Lule de Silva wa Brazil KUFUNGWA miaka 12 gerezani baada ya kuwa rais kwa miongo miwili katika utawala wake kwa kosa la UFISADI na kutumia madaraka yake KUJITAJIRISHA na kupokea RUSHWA!.

3.Rais wa zamani na wa kwanza mwanamke wa KOREA KUSINI Ms Park kahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 24 gerezani, na kuilipa serikali Dollar za Kimarekani millioni 24.
MSAIDIZI wake aliyekuwa AKITENGENEZA DILI zake miaka nafikiri 10

Wakati vuguvuvugu la vyama vingi lilipoanza lilianza hivi hivi tu baadaye likapokelewa na Afrika na Tanzania kwa ujumla. "You cannot resist an idea whose time has come"./Huwezi kuzuia NIA/WAZO ambalo wakati wake umefika!

TUPENDE , TUSIPENDE siku moja litatokea Tanzania. Hamna huruma kwa watu walio ila Tanzania na kuwafanya Watanzania wengine kama second class Citizens and destitute/Maskini wa kutupwana watu wa daraja la pili

Wakati wengine WANAKULA na KUSAZA na KUENDESHA MAGARI yanyaozidi mishahara yao.Majumba mabayo hawawezi kuelezea WALIYAPATA namana gani.

Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????

Let's call a Spade a Spade/Acha tuite kama ni Koleo ni Koleo na si KIJIKO.
UKWELI ni lazima USEMWE.
Within miaka miwili na nusu. Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.



Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.

Pamoja na mapungufu yake ambayo tunajaribu kumshauri kila wakati kupitia mitandao ya jamii. Maana naye ni binadamu SI Malaika.
Lakini ukweli AISEE Mzee AMEFANYA KAZI zinazoonekana

Kama tukiweka kwenya MIZANI nafikiri UZITO wa MAZURI ota ushinda MAPUNGUFU yake.

Hata katika maoni yangu si kwamba kila kitu huwa ninakubaliana naye, kuna wakati nakosoa na kutoa ushauri. Ili mtu asiseme bla bla sijui nini!

Maana hata KATIKA FAMILIA yeyoteile mtu na NDUGU yake si LAZIMA wakubaliane kimawazo wakati mwingine hutofautiana sana.

Hata hivyo hubaki kuwa wao ni ndugu mwishowe HUELEWANA na maisha yanaendelea.
Na hiyo ndo tabia ya kibinadamu.


POINTI yangu kuu ni kuwa naamni SIKU MOJA WATU fulani watakuja kujibu KWA NINI WALIIFIRISISHA Tanzania kupitia UFISADI.

Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM na WABUNGE wa vyama vingine kwa PAMOJA wataungana ili kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}


Hata kama si huyu Rais Magufuli SASA basi rais atakayekuja siku zijazo huenda akawa na MAONO na UCHUNGU kama wa Magufuli wa NCHI na WANANCHI wake ATAKUWA na UJASIRI na kuwapeleka MAHAKAMANI viongozi MAFISADI bila huruma.
upinzani ukishika dola Tanzania ex president atakayepona kibano labda ni mzee Ruksa pekee.
 
Back
Top Bottom