Aisee! kiongozi je ukitaka kununua shamba huko wanauzaje kwa hekaHabari wataalam,
kwa mara ya kwanza nimefika katika ardhi isemekanayo kutukuka kwa rutba na mvua za kutusha kwa kilimo cha mahindi kiukweli nimeshawishika sana kuingia katika kilimo cha mahindi japo kilimo cha kutegemea mvua ya mungu kupata ni majaliwa ya mola lakini mimi nitarisk na nimeplan kuanza na heka kumi (10) kulingana na uchumi wangu.
Nilichokipenda zaidi huku kulimo sio gharama sana gharama kubwa ni yakukodi shamba na kulima kwa trekta basi habari za mbolea hamna kabisa inasemekana ardhi hii inarutba ya kutosha kabisa kustawisha mazao bila kutegemea mbolea.
Kwa hesabu zangu za kawaida gharama ya kulima ekta 10 ni sawa mchanganuo huu chini..
Kukodi chamba 1kt = 30,000/- @10 (300,000/-)
Kulima kwa trekta 1kt = 30,000/- @10 (300,000/-)
Kupanda 1kt = 10,000/- @10 (100,000/)
Palizi 1kt =10,000/ @10x2 ( 200,000/-)
mbegu (200,000/-)
JUMLA. 1,100,000/-
Tuweke laki5 ya dharura ikitokea labda wadudu kununua dawa au kubadilika kwa bei ya vitu vingine
Jumla kuu itakua 1,600,0000/-
Sasa basi kwa kawaida kabisa kilimo kikitiki kwa ekta moja kupata gunia 7 ni kawaida kabisa sasa tuchukulie kiwango hichi cha chini kwa gunia7 kwa ekta kwaiyo sasa 7x 10 = 70 na kwa kawaida kabisa gunia moja kuuzwa elfu60 ni bei ya chini hivyo basi 70 x 60,000/- =( 4,200,000/)
Ukitoa hela niliowekeza (4,200,000/-1,600,000 =2,600,000/- ) napiga bingo la 2.6M kwa kipindi cha miezi 3 tu.
Naomba kuwasilisha nakaribisha mawazo na ushauri kutoka kwa wadau wa kilimo hasa kama umewai kulima kiteto.
Kuhusu kununua sijajua bei kiongozi labda waje wenye wilaya yao watuambieAisee! kiongozi je ukitaka kununua shamba huko wanauzaje kwa heka
Kama wewe ni mwenyeji mkuu unaweza kunifahamisha zaidi ni pori gani lenye rutuba sana na lisilo karibiwa sana na mifugo ya wamasai.Kila la kher mkuu mm ni mkaz wa maeneo hayo , hesab ziko sawa sema unesahau za usafir maana mashamba si ya ukaribu kiasi cha kuyafikia kiurahis hivyo!!
Karibu kiteto!!
Msimu unaanza lin mkuu!?Habari wataalam,
kwa mara ya kwanza nimefika katika ardhi isemekanayo kutukuka kwa rutba na mvua za kutusha kwa kilimo cha mahindi kiukweli nimeshawishika sana kuingia katika kilimo cha mahindi japo kilimo cha kutegemea mvua ya mungu kupata ni majaliwa ya mola lakini mimi nitarisk na nimeplan kuanza na heka kumi (10) kulingana na uchumi wangu.
Nilichokipenda zaidi huku kulimo sio gharama sana gharama kubwa ni yakukodi shamba na kulima kwa trekta basi habari za mbolea hamna kabisa inasemekana ardhi hii inarutba ya kutosha kabisa kustawisha mazao bila kutegemea mbolea.
Kwa hesabu zangu za kawaida gharama ya kulima ekta 10 ni sawa mchanganuo huu chini..
Kukodi chamba 1kt = 30,000/- @10 (300,000/-)
Kulima kwa trekta 1kt = 30,000/- @10 (300,000/-)
Kupanda 1kt = 10,000/- @10 (100,000/)
Palizi 1kt =10,000/ @10x2 ( 200,000/-)
mbegu (200,000/-)
JUMLA. 1,100,000/-
Tuweke laki5 ya dharura ikitokea labda wadudu kununua dawa au kubadilika kwa bei ya vitu vingine
Jumla kuu itakua 1,600,0000/-
Sasa basi kwa kawaida kabisa kilimo kikitiki kwa ekta moja kupata gunia 7 ni kawaida kabisa sasa tuchukulie kiwango hichi cha chini kwa gunia7 kwa ekta kwaiyo sasa 7x 10 = 70 na kwa kawaida kabisa gunia moja kuuzwa elfu60 ni bei ya chini hivyo basi 70 x 60,000/- =( 4,200,000/)
Ukitoa hela niliowekeza (4,200,000/-1,600,000 =2,600,000/- ) napiga bingo la 2.6M kwa kipindi cha miezi 3 tu.
Naomba kuwasilisha nakaribisha mawazo na ushauri kutoka kwa wadau wa kilimo hasa kama umewai kulima kiteto.
Hakuna bei constant ya kununulia, itategemea na umbali wa shamba kutoka main road na mwenye shamba husika kama yuko tayar!!Aisee! kiongozi je ukitaka kununua shamba huko wanauzaje kwa heka
Maeneo mengi yanayolimwa ni barabara ya tanga road kaskazin na kusini kwako kuanzia eneo la pori namba moja kuendelea na maeneo ni mengi!!Kama wew ni mwenyeji mkuu unaweza kunifahamisha zaidi ni pori gani lenye rutba sana na lisilo karibiwa sana na mifugo ya wamasai.
Msimu unaanza wa 11 kutegemea na mvua !!M
Msimu unaanza lin mkuu!?
Bei ya sasa kwa gunia Ni sh ngpHabari wataalam,
kwa mara ya kwanza nimefika katika ardhi isemekanayo kutukuka kwa rutba na mvua za kutusha kwa kilimo cha mahindi kiukweli nimeshawishika sana kuingia katika kilimo cha mahindi japo kilimo cha kutegemea mvua ya mungu kupata ni majaliwa ya mola lakini mimi nitarisk na nimeplan kuanza na heka kumi (10) kulingana na uchumi wangu.
Nilichokipenda zaidi huku kulimo sio gharama sana gharama kubwa ni yakukodi shamba na kulima kwa trekta basi habari za mbolea hamna kabisa inasemekana ardhi hii inarutba ya kutosha kabisa kustawisha mazao bila kutegemea mbolea.
Kwa hesabu zangu za kawaida gharama ya kulima ekta 10 ni sawa mchanganuo huu chini..
Kukodi chamba 1kt = 30,000/- @10 (300,000/-)
Kulima kwa trekta 1kt = 30,000/- @10 (300,000/-)
Kupanda 1kt = 10,000/- @10 (100,000/)
Palizi 1kt =10,000/ @10x2 ( 200,000/-)
mbegu (200,000/-)
JUMLA. 1,100,000/-
Tuweke laki5 ya dharura ikitokea labda wadudu kununua dawa au kubadilika kwa bei ya vitu vingine
Jumla kuu itakua 1,600,0000/-
Sasa basi kwa kawaida kabisa kilimo kikitiki kwa ekta moja kupata gunia 7 ni kawaida kabisa sasa tuchukulie kiwango hichi cha chini kwa gunia7 kwa ekta kwaiyo sasa 7x 10 = 70 na kwa kawaida kabisa gunia moja kuuzwa elfu60 ni bei ya chini hivyo basi 70 x 60,000/- =( 4,200,000/)
Ukitoa hela niliowekeza (4,200,000/-1,600,000 =2,600,000/- ) napiga bingo la 2.6M kwa kipindi cha miezi 3 tu.
Naomba kuwasilisha nakaribisha mawazo na ushauri kutoka kwa wadau wa kilimo hasa kama umewai kulima kiteto.
75-80kBei ya sasa kwa gunia Ni sh ngp
Duuh kumbe Bei ziko vzr kipindi hichi!75-80k
Habari wataalam,

Kiongozi! naomba unipe makadirio la shamba la karibu na main road bei yake, na ambalo lipo mbali na barabara bei yake.Hakuna bei constant ya kununulia, itategemea na umbali wa shamba kutoka main road na mwenye shamba husika kama yuko tayar!!
Bei ya kukodi haitofautiani sana mengi ni 30k na kama una nia ya dhati , wahi sasa hivi!!Kiongozi! naomba unipe makadirio la shamba la karibu na main road bei yake, na ambalo lipo mbali na barabara bei yake.