Asntmkuu kumbuka tangu walipozuia mahnd kwenda nje soko lake limekua adimu sana, unless otherwise kama ulikua unalifaham hilo bas utakua umejipanga, mwisho huu uzi watauhamishia jukwaa la kilimo halaf watauunganisha,
Tengeneza chakula cha mifugo! Na mwaka ujao mtanyooka na hivi mmemteka tajiri wenu, mtajuta kuzaliwa Tanzania! Waulize wakulima wa mbaazi, walitamani kuzigawa bure!Kiukweli binafsi nimekata tamaa na kilimo cha mahindi,Nina gunia 400 cjui pakuuza maana kila siku bei zinazidi kuporomoka Leo mahind 1kg=180 Songea Mjini
Kigoma, lima Kilima!Kigoma
Wewe unafanya nini cha msingi? Mtu akijaribu kujitoa kufight unamdhihaki...kuwa na akili, siyo kila mtu amepewa talanta kumi,mile kidogo alichonacho mwenzio amefanyia kazi...tutiane moyo mtu anapofanya hatua ya msingi mkuu.Cjui ni uoga au uzembe.... au nini cjui.......
Hivi kweli umekaa katika kazi miaka 10... ukaona msoto afu unataka ujikomboe kwa heka 3.
Inakuja akilini kweli....
Sio ndio unajiongezea matatizo......
Ukiamua kutupa jiwe... litupe mbaali hata likirudi chini lisikupige.... next time tupa karibu uone km halikugongi kichwani
Mi ni mkulima.... Nimekulia katika ukulima... Hakuna anayemdhihaki.. Ni upeo wako tu wa kufikiri umewaza hvyo...Wewe unafanya nini cha msingi? Mtu akijaribu kujitoa kufight unamdhihaki...kuwa na akili, siyo kila mtu amepewa talanta kumi,mile kidogo alichonacho mwenzio amefanyia kazi...tutiane moyo mtu anapofanya hatua ya msingi mkuu.
Mkuu leta mrejesho , mambo yalikwendaje na je ulirudisha fedha zako au uliliwa.Kwani uzi unaomba ushauri wa kulima heka ngapi?kasome vzr mkuu