Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

Zoezi la kusambaza samadi shambani likiendelea.Baada ya hapo litafuata zoezi la kupanda mahindi. Mbegu nilizopanga kupanda ni DK 777 na SeedCo Tembo 719. Pamoja wakuu tuendelee kupambana.
20231201_144140.jpg
20231201_144147.jpg
20231201_144138.jpg
20231201_144143.jpg


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom