Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,738
- 72,592
Aminaa Ted Cruz hapa ndipo wanagongelea msumariKesi hiyo inaendelea kueleza:
“Kampuni ya Marekani, iliyojengwa katika misingi ya uhuru wa kujieleza unaolindwa na sheria za Marekani, ilichagua mapato yake nchini Tanzania badala ya haki za binadamu, uhuru na demokrasia.”