Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,986
- 17,653
Kwanza, ile publicity aliyoipata siyo ya kitoto.
Angalia tarehe na mwaka JamiiForums ilipoanzishwa halafu angalia na Join date ya Nyani Ngabu msiwe mnapenda kuparamia I'd za watu kindezi 😂Wewe Nyani Ngabu kwa nini na wewe usitoke ukaweza msaada kwake?
Yaani unaambia mwanamke ni rider alaf umeweka makebo yako kwa kochi?
Wewe unahisi join date ndo kigezo?Angalia tarehe na mwaka JamiiForums ilipoanzishwa halafu angalia na Join date ya Nyani Ngabu msiwe mnapenda kuparamia I'd za watu kindezi 😂
SanaaMange anahitajika sana hususan wakati huu.
Shule pia na exposurenadhani ni mmoja wa wanaharakati anayejua nini chakufanya muda gani na wapi gani na kwa watu gani, hakurupuki kabisa
Sawa sawa , nakumbukaa enzi Yuko bongo na harakati zake za miss oceanShule pia na exposure
Very smart brain...
Hajasoma kayumba
That's whatsappp boySafi sana Mange!
You are a rider for real. You are also very necessary especially in these times.
And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta.
Hii publicity si ndogo.
![]()
LA influencer goes scorched earth on Mark Zuckerberg’s Meta after it caved to draconian African regime: suit
Activist Mange Kimambisays she became Tanzania’s target after using Instagram and WhatsApp to expose alleged killings and mobilize peaceful protests following last year’s disputed presidentia…nypost.com
kwenye kukurupuka moja wapo ni kitendo cha kuhamasisha maandamano siku ya uchaguzi, itachukua muda sana watu kureflect kwamba hakukua na siku mbaya ya kuchagua maandamano kama siku ilenadhani ni mmoja wa wanaharakati anayejua nini chakufanya muda gani na wapi gani na kwa watu gani, hakurupuki kabisa
Though mi nimemfahan enzi ya Instagram....Sawa sawa , nakumbukaa enzi Yuko bongo na harakati zake za miss ocean
Mie nimemfahamu muda ,alikuaga na hy project ya walimbwende,Yuko very smart na mikakati anaijua,Kipi kianze,Kipi kisubiri muda gani na kiwejeThough mi nimemfahan enzi ya Instagram....
Ila I can tell she s very smart
nadhani ni mmoja wa wanaharakati anayejua nini chakufanya muda gani na wapi gani na kwa watu gani, hakurupuki kabisa
Kujiunga siku nyingi haimaanishi mtu yuko smart upstairs,nyani ngabu ni low IQ fellaAngalia tarehe na mwaka JamiiForums ilipoanzishwa halafu angalia na Join date ya Nyani Ngabu msiwe mnapenda kuparamia I'd za watu kindezi 😂
Yaani wewe kila mtu unagombana nae kama kichaa vile😂Wewe unahisi join date ndo kigezo?
Au unongea kujifurahisha?
Kumbe Anaishi Los Angeles?Safi sana Mange!
You are a rider for real. You are also very necessary especially in these times.
And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta.
Hii publicity si ndogo.
![]()
LA influencer goes scorched earth on Mark Zuckerberg’s Meta after it caved to draconian African regime: suit
Activist Mange Kimambisays she became Tanzania’s target after using Instagram and WhatsApp to expose alleged killings and mobilize peaceful protests following last year’s disputed presidentia…nypost.com
Kila la kheriAcha kufanya assumptions.
Hujui kazi ambazo baadhi yetu tunazifanya huku nyuma ya pazia kuhakikisha Samia na wauaji wenzake wanawajibika.
Sina haja ya kuja hapa na kutangaza kila kitu.
Umeona alicho jibu? Au na wewe uache cheka kama chizi?Yaani wewe kila mtu unagombana nae kama kichaa vile😂