Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
Mahakama za US sio za maelekezo kaka, hamna makada wa chama mle

Wenzetu kampuni kama meta na zingine they are very sensitive na publick relation zao, any shred ya uchafu wanajua ita wa cost hela.
Muache dada wa watu adai haki yake
 
Huyo Mange anacheza nina uhakika ataongea kipare mahakamani.

Tunadhani hizi taasisi kubwa duniani wanasheria wao ni tia maji maji; kama hawa serikali ya Tanzania,

Yaani watu wenye uwezo wa kusoma DM zako, na washafunga account zako kadhaa for violation of registration kwa mambo ya kipuuzi tu.

Watu hao-hao uwafungulie kesi ya kuweka picha za AI na hadithi za misinformation; vifo vya watu 500 useme ni watu 10,000.

Na wanajua hadithi zote za D.M yako.

Ni utaahira uliopindukia, kufanya utaahira kwenye platform zao (Yaani watu wa Meta), kudhani na wao ni akili ndogo kama wewe.

Liwe somo la bure (suburi hiyo character assassination kwa Mange, before responding to legal matters).

Taahira tu, watamrudishia picha za kutengeneza na false information anazosambaza hatajuta.

Ni ujinga kudhani mtu mwenye makando kando, kando; kama Mange anaweza wasumbua meta.

Nimekwambia ataongea kipare mbele ya wanasheria wa Meta wakimuwashia moto; uamini subiri.

Unacheza wewe na hizi taasisi.
 
Serikali ya Trump na Samia ni sawa zote zimejaa wapigaji tu (kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake).

Hao hakina Ted Cruz, wanafanya wanayofanya (sio kwamba hawajui wanachofanya ni tishia nyau tu).

Hao watu wanafanya hivyo kwa maslahi ya kujinufaisha tu. Ni pressure politics, hela ambazo serikali husika zinalipa kupitia taasisi za kuwatetea. Taasisi zote husika zina uhusiano na Donald Trump cronies.

Sasa jiulize yaani Mange wa kuitisha Meta, au kuna watu nyuma yake wenye nia ya kuitoa serikali ya Tanzania hela.

Yaani kabisa unaweza amini wanasheria wa Meta ni kutishwa nyau na Mange (ambae huko nyuma anakiri kununuliwa Simu na Lugumi).

Lugumi ambae alikuwa adui wa Magufuli, leo ananunua silaha
za Abdul na kupiga picha akiwa kwenye warehouse za silaha (warehouse ambazo baadhi ya nchi za M.E zinashutumia kuzi support kufanya mambo ya hovyo..)

Watch this space, atajuta

Kwa Meta, Mange ni taahira tu, only that NY Post; don’t know it yet.

Subiri, uone.

Hii vita yetu ni ya watu ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama; kati ya wenye tamaa iliyopitiliza na wazalendo.

Tamaa kila mtu anayo na hakuna nchi iliyoweza dhibiti tamaa, ila tamaa inayopitiliza kwa senior civil servants ndio iliyotufikisha hapa.

Imefika hatua askari polisi, mzalendo alieapa kutenda haki ananyongwa ndani ya kituo cha polisi. Sehemu ya kusimamia haki kwa sababu hakutaka kuvunja kiapo chake.

Hatuna nchi

PS Mange hana uwezo wa kupambana na Meta, at this point she is on their mercy on how they want to respond to her.

Uamini subiri
 
Anacheza nina uhakika Mange ataongea kipare mahakamani.

Tunadhani hizi taasisi kubwa duniani wanasheria wao ni tia maji maji.

Yaani watu wenye uwezo wa kusoma DM zako, na washafunga account zako for violation of registration kwa mambo ya kipuuzi tu.

Watu hao uwafungulie kesi ya kuweka picha za AI na hadithi za misinformation; vifo vya watu 500 useme ni watu 10,000.

Na wanajua hadithi zote za D.M

Ni utaahira uliopindukia, kufanya utaahira kwenye platform zao (Yaani watu kama Meta), na kudhani na wao ni akili ndogo kama wewe.

Liwe somo la bure (suburi hiyo character assassination, before responding to legal matters).

Taahira tu, watamrudishia picha za kutengeneza na false information anazosambaza hatajuta.

Ni ujinga kudhani mtu mwenye makando kando kama Mange anaweza wasumbua meta.

Nimekwambia ataongea kipare, wanasheria wa Meta wakimuasha; uamini subiri.

Unacheza wewe na hizi taasisi.
Wiki iliyopita Meta ime settle kesi kwa dola bilioni 17!

Waliofungua hiyo kesi dhidi ya Meta ni binadamu tu kama Mange.

Who dares wins!
 
Wiki iliyopita Meta ime settle kesi kwa dola bilioni 17!

Waliofungua hiyo kesi dhidi ya Meta ni binadamu tu kama Mange.

Who dares wins!
Do a quick search on the law firm behind the legal dispute; and learn what on the back story (there is a lot on failure towards child protection).

There were serious breaches on child protection; on the matter.

Otherwise, sio rahisi kwa mtu ambae has fringed their rules several times kuwasumbua.

Subiri uone wanasheria wa Meta watakavyo mtwanga particularly on character assassination.
 
Do a quick search on the law firm the legal dispute; and the back story (there is a lot on failure of child protection).

It was a serious breach on child protection.

Otherwise, sio rahisi kwa mtu ambae has fringed their rules several times kuwasumbua.

Subiri uone wanasheria wa Mwta watakavyo mtwanga particularly on character assassination.
Yours is a defeatist attitude.

I don’t rock with your kind.

I repeat, who dares wins.

Mange has already proven that she’s a fighter.

Fighters don’t quit before they try.

They fight, and if they win, great.

If they lose, oh well, at least they tried.

They won’t have to live with the cloud of ‘what if I had tried’ hanging over their head, wondering what could have happened had they tried.

I’m a fighter. So I guess that’s why I can relate to her.

And I’ve come to realize that some, are not fighters. Just spectators.
 
I am contrary of your definition of me (me coward, never).

I am rathet a realist.

Corporate lawyers are trained in business thinking. That entails many aspects of busines, contract and general law.

Companies which are regularly sued, overtime learn how to protect their operations. .

Likewise Law firms which sues such companies understand, the challenges which lie ahead.

Maana yake nini, kabla ujamvaa; Kampuni kama Meta ujipange.

Moja ya weapons yao ni character assassination.

Sasa wewe jiongopee ujinga; wakati wao wana DM’s zako, wanajua uongo wako (uliotumia kusababisha watoto wa watu kupoteza maisha).

Na mengineo ya misinformation kupitia jukwaa lao, kuwafanya wachukue responsible action ya kukufungia.

Mambo mengine hata kuyaongelea shida; just wait and see.

Yaani Mange wa kuwatishia wanasheria wa Meta. Labda Kama tunadhani wanasheria wote duniani ni kama hawa serikali ya Tanzania.
 
See, I haven’t even defined you yet.

But you unwittingly let us all know you’re a coward hiding behind the patina of realism 😂.

You are easy pickings.

I say go Mange go. You have more cojones than a lot of “men’ out here.
 
😂😂😂 Me an easy picking; salaleh.

Coming from a JF veteran, 😂😂😂 some things; I haven’t the energy to entertain.

Kuna mambo ya kutumia nguvu kujaribu kuelimisha jukwaa la ulaya na Tanzania.

Sasa kama unadhani, Mange anauwezo wa kuwatisha Meta; I have boundaries siwezi bishia.

Tofauti hizo zinahitaji court ruling, rather than unnecessary arguments in my view.
 
Uchoko ni miongoni mwa sera za chadema,kifungu chenu katika katiba yenu,kif 14 / 2.7 Haki za kifaragha.
Wewe ni chama gani kati ya hivi hapa chini?
1. Chama cha mauaji (CCM)
2. Vyama vya mfukoni i.e CHAUMA, ACT...
3.Chama cha watu wenye akili timamu i.e CHADEMA
 
Mange kafichua madudu mengi sana...

Sema wale mafisadi walio mreport META walihusisha na masuala ya Mange kipindi anafanya issue zake zile za connection kwenye app yake, wakahusianisha kwamba ni kazi yake kuchafua watu.. meta walipofuatilia wakaona alikuwa kweli anafanya issue za connection kabla... ndipo wakapiga pini na kutia ngumu, pasipo hivyo ilikuwa ngumu sana kufuta account yake...

Lakini yote na yote mi naona hata zile connection alikuwa anaachia ni sehemu ya harakati tu, maana wasanii akili hawana...
kajitoa mhanga sana huyu mwanamke na kinachoshangaza ni kukataa mlungula na kuamua kuendelea na harakati
 
Back
Top Bottom