100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,318
- 37,004
Ni mhanga pia, chanzo cha kifo cha baba yake ni wakubwa serikalini..kajitoa mhanga sana huyu mwanamke na kinachoshangaza ni kukataa mlungula na kuamua kuendelea na harakati
Ndio maana ana hasira sana na anapambania justice.