Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
Nilidhani una hoja ya kisheria yenye mashiko kumbe na wewe ni wale wale. Sidhani hata kama umekuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa kesi inahusu nini.
Hilo jinga achana nalo mimi niliwahi kuliewesha limejaa kamasi kichwani weka ignore pita kushoto jadili na vichwa timamu mkuu
 
Nimewaza hivyo pia, META wanawezaje kukurupuka kufungia ACC yake kwa pressure ya serikali tena ya kiafrika, haiingii akilini.
Kumbe wote mna akili moja angalia mitandao ya meta Facebook Instagram na wassapp ni rahisi sana kuwa na hacked na kufuatiliwa kuliko Twitter na telegram.
 
Watasomaje huko wakati hakuna aliyewahi kusoma Sekondari?
Daa kahororo secondary Bukoba, mtu anajisifia wewe ungesoma Dar es Salaam international Academy si ungetamba nchi nzima

Ficha ujinga na ushamba wako we kibaka

What a fucking nigga
 
Mange HAWEZI kushinda hii kesi. Na asipokuwa makini atajikuta yeye ndio anabembeleza kuifuta. Kifupi, ameshauriwa vibaya kufungua kesi! Subiri muone!
Hapa umekuwa subjective
Nilidhan utaweka evidence based information kwanini hatoweza kushinda!!!

Mange Ana deal na wanasheria wa USA , inawezekana wewe ni bora kuliko hao wanasheria
 
Kwahiyo unafikiri hao META walikurupuka kufunga hizo accounts sio? Kwamba kampuni inaendeshwa na "chawa" sio?
Mbona kesi kibao Meta wameshindwa
Soma online

Tatizo we kadogoo unatumia utashi wako kufikiri, hutumii evidence na curent information zilizopo kwa sasa

Unakosa ufikiri dogo
 
Daa kahororo secondary Bukoba, mtu anajisifia wewe ungesoma Dar es Salaam international Academy si ungetamba nchi nzima

Ficha ujinga na ushamba wako we kibaka

What a fucking nigga
Afadhali mi nimesoma Kahororo na ninajivunia. Wewe umesoma Majohe Sekondari na unaogopa kuitaja badala yake unakimbilia kuitaja shule ambayo wewe na ukoo wako mzima mnaishia kuiona kwa nje tu! Pumbavu!!
 
Mange Kimambi kaolewa na myahudi, ... na unajua jinsi wayahudi wanavyoogopewa USA!
HII KESI LAZIMA MANGE ANASHINDA, KAMA NSHITAKIWA SIO MYAHUDI!
😅
Na Wamiliki wa META na shareholders wake hakuna mwenye asili ya Uyahudi?

Je, hujui kuwa makampuni mengi kama META Wamiliki, shareholders na hata wafanyakazi wao wengi wana asili ya Uyahudi? Kama hujui hilo ebu nenda JF ukurasa wa Jamii Intelligence usome baadhi ya nyuzi za Habib Anga a.k.a The Bold! Utanishukuru baadae!
 
Mange HAWEZI kushinda hii kesi. Na asipokuwa makini atajikuta yeye ndio anabembeleza kuifuta. Kifupi, ameshauriwa vibaya kufungua kesi! Subiri muone!
Hoja zako ni zipi!? Unazijua Sheria za Marekani hasa kuhusiana na uhuru wa kujieleza?
 
Mbona kesi kibao Meta wameshindwa
Soma online

Tatizo we kadogoo unatumia utashi wako kufikiri, hutumii evidence na curent information zilizopo kwa sasa

Unakosa ufikiri dogo
Hakuna kampuni yoyote duniani ambayo iliwahi kushinda kesi zote au kushindwa kesi zote. Ushanfahamu?
 
Back
Top Bottom