kampuni ya meta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya META inayomiliki WhatsApp, Facebook, Instagram, Threads, Messenger, inashirikiana na mamlaka za Serikali kukamata wahalifu

    Si salama kufanya uhalifu wa njia ya mitandao ya Kijamii kwasababu Kampuni ya META inashirikiana na Serikali zote duniani kukatama wahalifu wa njia ya mitandao ya kijamii Mara kadhaa Kampuni hii imekuwa ikisaidia Mamlaka kukamata wahalifu wanaotumia njia ya mitandao ya Kijamii Ikiwa mamlaka...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka na kampuni ya META na hii serikali yetu

    Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM. Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Meta yaamriwa kulipa dola milioni 375 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya unyanyasaji wa watoto

    Baraza la Wazee katika jimbo la New Mexico siku ya Jumanne limeiamuru kampuni ya Meta kulipa dola milioni 375 kama adhabu ya madai ya kiraia, baada ya kubaini kuwa kampuni hiyo iliwapotosha watumiaji kuhusu usalama wa majukwaa yake na kuchangia madhara kwa watumiaji wake, ikiwemo unyanyasaji wa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Meta kupunguza wafanyakazi na kuanza mbadala wa Akili Mnemba AI

    Meta imeanza kufuta maelfu ya nafasi za kazi huku kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ikichukua msimamo mkali dhidi ya wafanyakazi wanaoshindwa kufanya vizuri na kujiandaa kifedha kwa ajili ya uwekezaji mkubwa zaidi katika teknolojia ya AI mwaka mwingine. Wafanyakazi waliathiriwa barani...
  6. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania META yafukuza wafanyakazi waliobadili Kuponi za Chakula na kununua Dawa za Meno, Sabuni za Kufulia na Glasi za Wine

    Kampuni ya META imewafukuza Wafanyakazi zaidi ya 24 ambao walibainika kutumia Fedha ziliwekwa kwenye Kuponi za Chakula wakiwa kazini na kununua Mahitaji mengine zikiwemo Sabuni za Kufulia na Dawa za Meno. META imesema imechukua uamuzi huo kwa Wafanyakazi wa WhatsApp, Instagram na Facebook ambao...
Back
Top Bottom