Aidha wanaharakati wametumika au la, hio sisi haituhusu.
Mange Kimambi anashindwa kuelewa kuwa kuondolewa kwa Mwigulu kunaongeza mpasuko ndani ya chama na serikali, na mapasuko unaongeza ugumu wa kuongoza nchi.
Hivyo kupuuzia scandal ya mwigulu ety kwa kuogopa kutumika haina maana, kikubwa...
Mange Kimambi anaonekana kuwa na tabia ya kutaka kila siku yeye ndiye awe kwenye trend. Wengine wanapopata attention kubwa, badala ya kufurahia mafanikio yao, mara nyingi huonekana kuanza kuwashambulia.
Nakumbuka Wema Sepetu alipata mtoto, Mange alimpinga hadi kufikia kutaka mtoto huyo apewe...
Mtu una smartphone yako 📱
Una bando lako
Una account Instagram, TikTok, Facebook au WhatsApp
Unapost mawazo yako kwa sekunde chache tu
unapata likes, comments na post yako inaweza kutrend mtandaoni
Halafu eti uanze kuandika vikaratasi na kuvidondosha barabarani? 😂
Na Mwandishi Maalum
Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu.
Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
bank
crdb
gharama
heche
igp
jeshi
jeshi la polisi
jeshi la polisi tanzania
kufuru
kuhusu
mangemangekimambi
meza
mkuu
mkuu wa
polisi
polisi tanzania
sawa
sio
statement
tanzania
vinywaji
wambura
Maudhui ya Uzi:
WanaJF,
Katika medani ya kisiasa nchini, mipaka kati ya harakati za kweli na siasa za majitaka imekuwa ikifutika kwa kasi kutokana na nguvu ya mitandao ya kijamii. Hali hii imedhihirika hivi karibuni baada ya mwanaharakati wa kidijitali anayeishi Marekani, Mange Kimambi, kuibua...
Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
Kwa sasa wanachama wa Chadema wanawasikiliza zaidi Mange Kimambi na Sativa zaidi ya wanavyosikiliza viongozi wao.
Chama kuendeshwa na wanaharakati ni hatari sana , na imefikia hapo kwa sababu hao wanaharakati ndio walioshawishi watu wengi kukichangia chama kwa ajili ya Mkutano wa Kamati Kuu...
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi.
Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi.
Moderator...
Mwanaharakati wa mitandaoni, Mange Kimambi, amewajia juu wanasiasa na kueleza kusikitishwa kwake na hatua yao ya kubadili mwelekeo wa kisiasa baada ya kukusanya michango ya fedha kutoka kwa wananchi.
Kupitia ujumbe aliosambaza kwenye mitandao ya kijamii, Kimambi amedai kuwa wanasiasa hao...
Tulikuwa tunasema hapa kuwa baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya.
Pesa zoote zilichotwa kwa ajili ya kampeni, kulipa askari na wanajeshi mmoja mmoja ili wazuie maandamano. Kulipa wakuu wa jeshi wakuu wa Polisi etc. mpaka Polisi waliostaafu walirudishwa ili kuzuia maandamano.
Na baada ya...
Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake.
Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika.
Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost.
https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,
Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
Mange kitambi amesema kuna mpango wa kugawa Chadema. Mpango huo utahusisha Freeman Mbowe na Viongozi wengine wakubwa wa Chadema.
Pesa za opesheni hiyo itapita kwenye Bank M ambayo itatumika kupitisha fedha hizo. Bank hiyo itatangaza kufilisika kisha watainunua.
Kupambana na ccm ni kazi ngumu...
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.
Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.