min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,354
- 167,773
Umejuaje bwashee?Wana akili ambazo sio za Kukesha bar kama wewe
Umejuaje bwashee?Wana akili ambazo sio za Kukesha bar kama wewe
Kumbe ninachokonoa watu wazito na wanaitika basi ni nyota kubwa sana mm🤣🤣🤣
Kuna I'd nilikuwa naiparamia kama unavyoparamia ids za watu humu, basi kuna siku akaandika mawasiliano yako na akasema ni Mkurugenzi wa fedha na utawala Gulf Oils UAE nikajua masihara siku anatua TZ akani PM nikampigia, akasema nitakuwa Serena Hotel jioni nipigie saa 12 jioni
Jioni nikampigia nikaenda mpaka Serena Hotel napiga simu inapokewa na msaidizi wake akaniambia Dr ana mazungumzo na Mheshimiwa Waziri, kuingia mpaka ndani aisee nilikuta kuna Ulinzi wa kutisha, mbona nilikula kona.
Kuna I'd nyingine nilikuwa na associate naye sana kwenye utani na kejeli akaniomba namba ya simu nashangaa inanipigia namba ya UK akaniambia December atanitafuta ni kweli nakumbuka ile 15 December 2012 akanipigia tukakutana JB Belmont pale NSSF HQ Posta kula sana monde kwenye age yangu ya 25's jamaa akaniambia ni Dr UK huko na anachukua PhD yupo humu humu.
Na mwingine naona huwa naona unamchokonoa sana lakini ni tofauti na vile unavyomchukulia ni mtu mwenye roho nzuri na heshima na tunashirikiana na baadhi ya wadau ndani na nje ya huu mtandao.
Slow Down Kijana 😂😂😂
They're living their dreams and you're living alcoholUmejuaje bwashee?
Kaka naomba connection basi mtu mzito🤣🤣🤣
Kuna I'd nilikuwa naiparamia kama unavyoparamia ids za watu humu, basi kuna siku akaandika mawasiliano yako na akasema ni Mkurugenzi wa fedha na utawala Gulf Oils UAE nikajua masihara siku anatua TZ akani PM nikampigia, akasema nitakuwa Serena Hotel jioni nipigie saa 12 jioni
Jioni nikampigia nikaenda mpaka Serena Hotel napiga simu inapokewa na msaidizi wake akaniambia Dr ana mazungumzo na Mheshimiwa Waziri, kuingia mpaka ndani aisee nilikuta kuna Ulinzi wa kutisha, mbona nilikula kona.
Kuna I'd nyingine nilikuwa na associate naye sana kwenye utani na kejeli akaniomba namba ya simu nashangaa inanipigia namba ya UK akaniambia December atanitafuta ni kweli nakumbuka ile 15 December 2012 akanipigia tukakutana JB Belmont pale NSSF HQ Posta kula sana monde kwenye age yangu ya 25's jamaa akaniambia ni Dr UK huko na anachukua PhD yupo humu humu.
Na mwingine naona huwa naona unamchokonoa sana lakini ni tofauti na vile unavyomchukulia ni mtu mwenye roho nzuri na heshima na tunashirikiana na baadhi ya wadau ndani na nje ya huu mtandao.
Slow Down Kijana 😂😂😂
Ndio kusema mnataka kula mema ya nchi kweli ? Maana hao wenye kutoa hayo mema mnapishana nao humu humu, kuweni na jicho la kuona basi 😃Kaka naomba connection basi mtu mzito
Unamjua aliyemshauri Hadi useme ameshauriwa vibaya?Mange HAWEZI kushinda hii kesi. Na asipokuwa makini atajikuta yeye ndio anabembeleza kuifuta. Kifupi, ameshauriwa vibaya kufungua kesi! Subiri muone!
Mahakama za US sio za maelekezo kaka, hamna makada wa chama mleMange HAWEZI kushinda hii kesi. Na asipokuwa makini atajikuta yeye ndio anabembeleza kuifuta. Kifupi, ameshauriwa vibaya kufungua kesi! Subiri muone!
Time is a good teacher.Unamjua aliyemshauri Hadi useme ameshauriwa vibaya?
Kashauriwa vibaya na Nani?
Kwahiyo unafikiri hao META walikurupuka kufunga hizo accounts sio? Kwamba kampuni inaendeshwa na "chawa" sio?Mahakama za US sio za maelekezo kaka, hamna makada wa chama mle
Wenzetu kampuni kama meta na zingine they are very sensitive na publick relation zao, any shred ya uchafu wanajua ita wa cost hela.
Aisee shule za kata zinazalisha vilaza kweliKwahiyo unafikiri hao META walikurupuka kufunga hizo accounts sio? Kwamba kampuni inaendeshwa na "chawa" sio?
Duh😁Ndio kusema mnataka kula mema ya nchi kweli ? Maana hao wenye kutoa hayo mema mnapishana nao humu humu, kuweni na jicho la kuona basi 😃
Moto hapa unazidi kuchemkaMwanaharakati Mange Kimambi, mwenye umri wa miaka 46, anasema aligeuka kuwa mlengwa wa viongozi wa Tanzania baada ya kutumia Instagram na WhatsApp kufichua madai ya mauaji na kuhamasisha maandamano ya amani kufuatia uchaguzi wa urais wa mwaka jana ambao ulipingwa na baadhi ya watu.
Nilidhani una hoja ya kisheria yenye mashiko kumbe na wewe ni wale wale. Sidhani hata kama umekuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa kesi inahusu nini.Kwahiyo unafikiri hao META walikurupuka kufunga hizo accounts sio? Kwamba kampuni inaendeshwa na "chawa" sio?
Nimewaza hivyo pia, META wanawezaje kukurupuka kufungia ACC yake kwa pressure ya serikali tena ya kiafrika, haiingii akilini.Kwahiyo unafikiri hao META walikurupuka kufunga hizo accounts sio? Kwamba kampuni inaendeshwa na "chawa" sio?
Akishindwa haina shida hakuna kituVipi akishindwa?
Hiyo kesi ni pamoja na kulipwa piaKwenye maelezo hajasema anataka kulipwa/damages, yeye anataka nafasi(space) aweze kuitumia haki ya free speech kwa ukamilifu.