Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
Safi sana Mange!

You are a rider for real.

And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta.

Hii publicity si ndogo.

ASANTE KWA KUITANGAZA TANZANIA KWA MABAYA LAKINI ELEWA DUNIA ITATUPOKEA KWA MEMA!.....YALIYOPO TANZANIA!..
 
Hii kesi atashinda , dhidi ya vibaka na madhalimu wa Samuya waliokuwa wakitumwa kupeleka malalamiko eti faragha zao zinaingiliwa kumbe wanamulikwa ufisadi wao.

X ya Elon Musk imejitahidi sana kutopokea maelekezo ya serikali dhalimu ndio maana hata wakaona waifungie kwa watumiaji waliopo Tanzania.
 
Wewe Nyani Ngabu kwa nini na wewe usitoke ukaweza msaada kwake?

Yaani unaambia mwanamke ni rider alaf umeweka makebo yako kwa kochi?
Acha kufanya assumptions.

Hujui kazi ambazo baadhi yetu tunazifanya huku nyuma ya pazia kuhakikisha Samia na wauaji wenzake wanawajibika.

Sina haja ya kuja hapa na kutangaza kila kitu.
 
Playbook yao ni kwamba, post ya kwanza wanakurushia tusi. Ukijibu tu, unahama nao, wameshinda! Kwa saab wao lengo litopiki livurugike.

Samia regime imelipa milions of dollars to lobbyist kujaribu kupata hiki ambacho Mange anakifanikisha hapa, rallying for international support. This is big freaking deal internationally.

Sasa ili kuzuia domestic audience isiyajue haya ndo wanakuja kqenye kurasa kama hizi kuzinukisha. Unaingiaje kingi hapo? Lock it in, bro.
 
madogo hawajui kuwa hata Mange alikua wa kishua sana na kafaidika na mfumo ila anapenda haki ,kaamua kutetea haki
Mange anapenda umaarufu.

Huyo alianza na umbea kwenye social blogs zake.

Akawa ni kutukanana na wanawake wenzake.

Matusi yalivyokwisha akaona akipost mambo ya siasa inalipa.

Kaanza kukusanya wajinga wake.

Hakuna mwanaharakati hapo.

Kuna mlilia Publicity.
 
Back
Top Bottom