Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,273
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.