Uchaguzi 2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.

Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.

Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
 
Kabisa Kuna mgombea ana Tatizo la kiafya Mpaka kampeni ameshindwa kufanya Sasa kuongoza nchi ndio ataweza? Halafu hicho kipengere kiongezwe na kupimwa afya ya akili , Kuna mgombea nasikia anaumwa bipolar disorder hata wenzake kwenye chama chake wanajua , ila wanaogopa nguvu za mamlaka alizonazo hata tiss wanajua , mwingine anafaili milembe na Bugando . Tiss Mungu anawaona .

Interesting ...
 
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.

Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.

Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Na hasa afya ya akili la sivyo tunaweza kuwa na rais mwenye memory disc iliyovurugika - mwenda wazimu.
 
Tunaambiwa bado ana risasi mwilini
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.

Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.

Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
 
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.

Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.

Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Hasa magonjwa haya
Ya akili
Ya moyo
Ya kisukari
Mara nyingi husababisha kusahau uongo na hasira
 
Best mbona alishasema amechoka kwa kuwa kazi ya Urais ni MATESO MAKUBWA cha kushangaza kang’ang’ana tu!

Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.

Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.

Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
 
Tangu mwanzo tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume mlikakataa sasa Oneni wenyewe.....

Tundu Lissu ndio mgombea wa urais pekee mwenye akili timamu
 
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Ndiyo maana kuna mgombea alipambana kuuwa vyama shindani ili kipindi cha uchaguzi asifanye kampeni.

Na akajitahidi kujenga matuta barabarani akayapa jina la flai-ova ili wananchi wampende lkn wapi bwana, hawamuelewi.

Ameamua kususa na kuanza kumfokea Siro eti kwann hatumii bunduki kumzuia mgombea pinzani mwenye nguvu.

Haah! Kumbe afya mbovu!!!?
 
Back
Top Bottom