Uchaguzi 2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

Unamuongelea Mgonjwa aliyeshindwa kufika mahakamani kwa kisingizio cha ugonjwa ??
 
Nakumbuka kipindi cha Babu wa Loliondo mchungaji Mtikila aliwahi kusema kuwa,viongozi wengi wa serikali,kwa jinsi walivyomiminika Loliondo afya zao ni mgogoro.
Ndio maana hata ufanisi wao kiutendaji unatia mashaka.
 
Rais anapofikiri ni haki yake kuwa Rais na anachoamua yeye tu ndiyo sahihi ni hatari sana.
Hiyo siyo dalili ya schizophrenia. Baadhi ya dalili za mwenye schizophrenia ni hizi:
1. Grandiosity: Anajiona yeye ndiye msomi kuliko wote. Anajua sheria kuliko hata maprofessa wa sheria waliomfundisha. Anakijua kiingereza kuliko hata muingereza wa Ireland. Wengine wote anawaona ni washamba lakini anataka wampe kura zao. Anajiona yeye anaifahamu sana ulaya na marekani na angependa akiwa rais nchi yetu ataifumua na kuweka mifumo ya utawala na mingine ya ulaya na marekani ikiwemo ile ya ushoga.

2. Delusions: Mambo ambayo si ya kweli anayaona ndiyo ya kweli na yale ya kweli anayaona si ya kweli.Hivyo kwake uwongo ndiyo ukweli. Reli iliyojengwa na mkoloni miaka 100 iliyopita ataiona iko sawa na hii tunayojenga sasa ya sgr, hivyo anaona kuijenga ni kupoteza tu pesa za umma. Bwawa la kuzalisha umeme la Mtera analiona ni sawa tu na hilo bwawa tunalolijenga sasa huko Rufiji. Anaona kuwa zile traffic lights kule jijini Chato ni kwa ajili ya kuongozea punda, mikokoteni na baiskeli na kadhalika. Hizi kwenye phscopathology zinaitwa delusions.

3. Hallucinations: anakuwa anasikia au kuona au kuhisi vitu ambavyo havipo. Atahisi polisi wanakuja kumkamata. Atahisi wanamsema vibaya nk. Kutoka na hallucinations hizi anakuwa aggressive ili kujihami: atatukana kila mtu hadi tume iliyomteua kuwa mgombea urais, ataahidi vitu visivyowezekana na kadhalika.
 
Hasa lisu maana ki sayansi kujaa povu mdomoni wakati wa kuongea ni dalili ya ukichaa/uchizi
Yule anaevimba uso kama puto hawezi kukaa mbali na ARV.

Watu hawa wanakuaga na hasira hata wakisikia harufu ya mavi yao tu inakuwa shida.
 
Taili la gari hufungwa na Nut, wakati mwingine nut huweza kufunguka kwa bahati mbaya kisha taili kuchomoka huku gari likiwa katika mwendo. Tunajua nini hutokea baada ya mkasa huo.
Ebu tujiulize, nini kitatokea ikiwa tutapata kiongozi ambaye mwili wake umefungwa na NUT na kwa bahati mbaya NUT zingafunguka pengine bila yeye kujua?
 
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.

Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.

Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
HASA AKIWA AMETUMIA DAWA ZA THEATRE MARA NYINGI SANA
 
Hiyo siyo dalili ya schizophrenia. Baadhi ya dalili za mwenye schizophrenia ni hizi:
1. Grandiosity: Anajiona yeye ndiye msomi kuliko wote. Anajua sheria kuliko hata maprofessa wa sheria waliomfundisha. Anakijua kiingereza kuliko hata muingereza wa Ireland. Wengine wote anawaona ni washamba lakini anataka wampe kura zao. Anajiona yeye anaifahamu sana ulaya na marekani na angependa akiwa rais nchi yetu ataifumua na kuweka mifumo ya utawala na mingine ya ulaya na marekani ikiwemo ile ya ushoga.

2. Delusions: Mambo ambayo si ya kweli anayaona ndiyo ya kweli na yale ya kweli anayaona si ya kweli.Hivyo kwake uwongo ndiyo ukweli. Reli iliyojengwa na mkoloni miaka 100 iliyopita ataiona iko sawa na hii tunayojenga sasa ya sgr, hivyo anaona kuijenga ni kupoteza tu pesa za umma. Bwawa la kuzalisha umeme la Mtera analiona ni sawa tu na hilo bwawa tunalolijenga sasa huko Rufiji. Anaona kuwa zile traffic lights kule jijini Chato ni kwa ajili ya kuongozea punda, mikokoteni na baiskeli na kadhalika. Hizi kwenye phscopathology zinaitwa delusions.

3. Hallucinations: anakuwa anasikia au kuona au kuhisi vitu ambavyo havipo. Atahisi polisi wanakuja kumkamata. Atahisi wanamsema vibaya nk. Kutoka na hallucinations hizi anakuwa aggressive ili kujihami: atatukana kila mtu hadi tume iliyomteua kuwa mgombea urais, ataahidi vitu visivyowezekana na kadhalika.
Hapo sawa. Huyu mgombea mwingine ana dalili kama zote za ugonjwa huo. Maana yeye kampeni zake usiposikia matusi, kejeli na vitisho ujue siyo yeye.
 
Back
Top Bottom