Acha mihemko.. hatuwezi tukawa sisi ndo wakushinda miaka yote.. kuna wakati timu inakuwa juu na wakati mwingine inakuwa down.. ko ni ishu ya kuvumilia tu..
 
Habari mbaya kutoka kaitaba, nasikia mgonjwa kagoma kula
Screenshot_20220122-223613~2.jpg
 
Hahahaaa. Tuliwavumilia sana ile misimu minne shem.

Hapa ndo tunawaonyesha kwamba na sisi tulikuwa tunaumia kama wao wanavyoumia sasa.. 🤣🤣
Wakumbushe na formula ya ubingwa mpaka sasa.

Ili wawe mabingwa lazima yanga apoteze mechi tatu na draw mbili na wao washinde mechi zao zote zilizobaki.

Tuwapatie kisu wakate tamaa
 
Back
Top Bottom