NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU!!
IMG-20200405-WA0001.jpg
 
Inauma lakini hamna jipya. Walitufunga mwaka ule ambao ilikuwa tuchukue ubingwa bila kupoteza match.
 
Kwa vile wanao ongoza ni yanga hamna shida hata wngeongoza kwa pointi 50 Bado hawawezi kuchukua ubingwa ...
 
Tatzo hawa simba wanataka ufundi waki shabiki wanataka point 3 mhmu bac ufundi n mazoezini tu
Wachezaji wanacheza na kelele za mashabiki,kila mtu anataka ajionyeshe yeye anajua pale mbele ,no team work. Morison na Sakho ndo tegemezi lakini kila mtu hamtegenezei mwenzake nafasi ,wana dribble tu na kupiga mashuti yasiyo na macho
 
Simba tunawazidi magoli kumi
Pointi kumi
Chansi ya Leo wameichezea, la kuvunda halina ubani
 
Wachezaji wanacheza na kelele za mashabiki,kila mtu anataka ajionyeshe yeye anajua pale mbele ,no team work. Morison na Sakho ndo tegemezi lakini kila mtu hamtegenezei mwenzake nafasi ,wana dribble tu na kupiga mashuti yasiyo na macho
Kama na akili zenu mnamtegemea Morrison chizi, nawapa pole aiseeeee.
 
Back
Top Bottom