Hawa Simba SC sasa hivi wamekuwa PAKA!!
Sidhani hata WACHEZAJI kama wanaumia sana kama SHABIKI...
 
Hawa Simba SC sasa hivi wamekuwa PAKA!!
Sidhani hata WACHEZAJI kama wanaumia sana kama SHABIKI...
Kwani wao wanapenda kufungwa? Mchezani yoyote ambaye anapenda career yake inamuuma sana pale timu ispofanya vizuri
 
Mimi nakubaliana na ww mkuu- sioni tatizo la kocha- tatizo ni viongozi- wamesajili wachezaji wenye viwango duni- na wale wa zamani- wengi wamebakiza majina tu.
Wanaomlaumu kocha ni washabiki fata upepo tuna viongozi wamejazana kutafuta sifa bora wamrudishe Kaburu kidogo anajua mbinu za ligi lakini hawa wengine walikuwa wanabebwa na hanspope
 
Attacking Partnership ya Wachezaji watatu wa Kagera Sugar inaweza kuja kuwa Hatari ikizoeana.
.
Hassan Mwaterema
Meshack Abraham
Hamisi Kiiza
.
Ni kama Mkongwe Diego Kiiza amekuja kuunganisha kilichokosekana Katika Safu ya Ushambuliaji ambacho ni Experience.
.
NiaminiMimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malalamiko mmecheza bila mshambuliaji asili mpaka alipoingia kagere. Ukiwachukua washambuliaji wa kati halisi ni mugalu kagere na bocco kwa ujumla wao toka ligi ianze mabao yao wanazidiwa na mayele sasa naona kocha wenu kaona isiwe tabu ndo maana anawaingiza jioni kama nimekosea hesabu nisameheni na rekebisheni.
 
Back
Top Bottom