FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,659
Simba 1 - 0 Singida Black Stars (⚽ MUKWALA 42' )

LIGI: NBC premier League ⚽🏆
Game:
Simba SC v/s Singida Black Stars SC
Tarehe: 28-05-2025
Uwanja: KMC Complex
Muda: Saa kumi jioni

ni mechi ya kiporo yenye mvuto wa kipekee, Simba SC wataingia dimbani kwenye uwanja wa KMC Complex kuchuana vikali dhidi ya Singida Black Stars

Je,
  • Mnyama Simba atakitafuna kiporo ?
  • Ama Singida watasababisha mshangao ?

VIKOSI VINAVYOANZA

simbasctanzania_1748433617_3642447639455611867_1929359033.jpg


singidablackstarssc_1748435127_3642460306032600013_30332657354.jpg

1' Simba wanapata offside
4' Zimbwe anafanya Foul
5' Singida wanakosa goli
35' Mpanzu anafanyiwa madhambi
 
LIGI: NBC premier League ⚽🏆
Game:
Simba SC v/s Singida Black Stars SC
Tarehe: 28-05-2025
Uwanja: KMC Complex
Muda: Saa kumi jioni

ni mechi ya kiporo yenye mvuto wa kipekee, Simba SC wataingia dimbani kwenye uwanja wa KMC Complex kuchuana vikali dhidi ya Singida Black Stars

Je,
  • Mnyama Simba atakitafuna kiporo ?
  • Ama Singida watasababisha mshangao ?

View attachment 3348004
Kwa SBS hii ya Sowaaa, Adebayo na Rupia Simba anakufa nyingi. Mkono ni machache.
 
Magazeti ya ijumaa na vichwa vya habari
-Singida ya piga kwenye mshono
-Singida wametia chumvi kidonda kibichi walichosababisha Berkane
-Singida yaendeleza machungu kwa Simba
-Fadlu alia na ratiba za mechi,adai wachezaji wake wanafatique
-singida yaisafishia njia Yanga ubingwa bara
-Simba msimu wanahitaji maombi,wadondosha points kmc complex
-Sare waliyoipata Simba,Singida walia na refa, Penalty aliyowazawadia,yawashtua wapenda mpira Tz
-Kwa mbereko hizi za refa,soka letu linasafari ndefu, Simba yaunajisi mpira
-Simba yafa kiume Kmc complex,yapigwa kimoja cha nguruwe

😀😀😀😀🏃Tukutane kwenye magazeti ya ijumaa na ole wenu waandishi mfanye plagiarism kwenye heading zenu bila kufanya acknowledgment ya JEIFU
 
ni ngumu kumfunga simba , mana ana marefa, tff na bodi ya ligi nyuma yake, lakini akipigwa pum bu nitafurahi.
 
Mchezo mgumu mno, singida kuamua hatma ya simba msimu huu kwa michezo yote miwili.

Singida hana cha kupoteza kwenye mechi ya leo.

Nadhani angekaza zaidi kwenye CRDB keshokutwa kuliko leo kumsaidia yanga.

All the best Lunyasi.
 
Singida hawezi kushinda mechi zote atakazocheza na Simba, unajua Simba watu wanaiona kama timu ya kawaida.

Singida atapigwa vizuri, siyo chini ya goli 3
 
LIGI: NBC premier League ⚽🏆
Game:
Simba SC v/s Singida Black Stars SC
Tarehe: 28-05-2025
Uwanja: KMC Complex
Muda: Saa kumi jioni

ni mechi ya kiporo yenye mvuto wa kipekee, Simba SC wataingia dimbani kwenye uwanja wa KMC Complex kuchuana vikali dhidi ya Singida Black Stars

Je,
  • Mnyama Simba atakitafuna kiporo ?
  • Ama Singida watasababisha mshangao ?

View attachment 3348004
Who is this guy asking silly questions 😜
 
Sowah,Lupiah lazima wamlize Camala leo si chini ya bao tatu.
 
Halafu refa akitoa penati au kadi nyekundu mnalia simba wanabebwa, ninyi watumeni tu hao wadogo zenu ili waje kucheza karate na kujipotezesha muda uwanjani, refa akiongeza dakika nyingi tusisikie fyoko maana hao ndugu zenu hakuna kingine wanachokijua zaidi ya hiki

Screenshot_20250528_081519_WhatsApp.jpg
 
Nimekaa tu hapa nawaza mwamuzi wa kati leo atakuwa ni nani kati ya hawa waamuzi wao wanne;
1. Tatu Malogo
2. Kepha Kayombo
3. Japhet Smart
4. Shomary Lawi
 
Shindeni hapa ili mzizi wa fitna tukautafune...🤣
 
Back
Top Bottom