Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Mudi haongei chochote anameza pariki nzima-nzima bila kutafuna.Kuni Mwamedi mwenyewe anasemaje kwa mfano?
Mudi haongei chochote anameza pariki nzima-nzima bila kutafuna.Kuni Mwamedi mwenyewe anasemaje kwa mfano?
Kua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.
kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.









Tikipigwa au kutoa droo kwenye huu uwanja nitaamini kuwa Timu yangu ni mbovu msimu huu.








Kila la kheri mnyama mkali






karibuni kwenye uhalisiaSi tulikubaliana sakho ni proffesor?Simba hii ifumuliwe itengenezwe upya
HatimayeNajua wana Nkulukumbi lazima watoboe tundu
Umemponza mwenzio kesho anatolewa vitu vyake njeKua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.
kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.
Sasa Leo mmekutana na wahaya na wamewamwaga maji pazuri kabisa!!Viwanja vinaruhusu watu kucheza, hata Messi huwezi kumpima kwenye lile jaruba la mbeya.