Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,332
- 7,178
Kwakweli kuna mambo ambayo daima nitamkumbuka nayo:-
1. Alikuwa mwamba akiongea wote kimya mnamsikiliza yaani alikuwa loud and clear.
2. Uthubutu na maamuzi ya papo kwa hapo.
3. Kusikiliza wananchi kwakweli hakujali hali alimsikiliza hadi mwananchi wa kawaida na viongozi walianza kuona thamani ya kila mwananchi.
Kwa haya JPM nitakukumbuka sana.
Alipoanguka kama mwanadamu ni kwenye promotion na salary increament (japo aliitoa increament ya kupunguza PAYE rates). Demokrasia na freedom of press
Anyways hatukutumwa tuzaliwe ni kiherehere chetu.
Pumzika kwa AMANI JPM.