Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,054
- 71,341
Wee huoni Watu wanakua Masikion Kwa Kasi ya ajabu ,na Tajiri anazidi kua Tajiri Kwa Kasi ya Ajabu???
Mbona uzi bado upo hawajaufuta si ndo huu!?Wakati wa utawala wa JPM.
1. Mbolea mfuko wa mbolea uliuzwa kwa sh.45,000/- lakini sasa ni sh.135,000/-. Ongezeko ni 200%.
2. Nauli ilipokuwa sh.1500/- sasa ni sh.4000/-. Ongezeko ni 167%.
3.Tuliishi kwa amani bila vibaka wala Panyaroads lakini sasa wametapakaa kila kona mtaani.
4.Tulijengewa akili ya kujitegemea lakini sasa tunajengewa akili ya kuwategemea waliotufanya watumwa kwa miaka mingi.
5. Rasilimali za Nchi zililindwa kwa nguvu zote lakini sasa ni shamba la Bibi.
NB:- Kwa nini wanaogopa sana facts kuhusu JPM mpaka wanafuta uzi ndani ya dakika chache?
Mpaka hapo nimeamini JPM ni chuma, jina lake tu likitajwa wanatetemeka.
Haswaa.Ngoja waje watasema umetumwa na Job kumsema Mama. Wengine watasema ameshafariki hawezi kurudi, utafikiri umeandika ili afufuke! Wengine watasema kazikwe nae, utafikiri umewaambia unataka kufa!
Ukweli haupigwi rungu. JPM alikuwa Kiongozi shupavu, Mzalendo na mwenye maono kuliko....!
Huku kwetu.Hio nauli kutoka 1,500 mpka 4,000 ni mkoa gani , usafiri gani?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hofu ilikuwa juu sana na uhuru wa kujieleza uliwekwa kapuni, nchi ilikuwa inajizamisha kwenye udikteta taratibu. Kupotea na kupigwa risasi hadharani watu kama Lissu kulitosha kumfanya Mungu aingilie kati.Wakati wa utawala wa JPM.
1. Mbolea mfuko wa mbolea uliuzwa kwa sh.45,000/- lakini sasa ni sh.135,000/-. Ongezeko ni 200%.
2. Nauli ilipokuwa sh.1500/- sasa ni sh.4000/-. Ongezeko ni 167%.
3.Tuliishi kwa amani bila vibaka wala Panyaroads lakini sasa wametapakaa kila kona mtaani.
4.Tulijengewa akili ya kujitegemea lakini sasa tunajengewa akili ya kuwategemea waliotufanya watumwa kwa miaka mingi.
5. Rasilimali za Nchi zililindwa kwa nguvu zote lakini sasa ni shamba la Bibi.
NB:- Kwa nini wanaogopa sana facts kuhusu JPM mpaka wanafuta uzi ndani ya dakika chache?
Mpaka hapo nimeamini JPM ni chuma, jina lake tu likitajwa wanatetemeka.
Wanadhani hatuna kumbukumbu.
Kutokana Na Vita Kila Kitu Kitapanda Bei
Mzilankende, Chuma, Jiwe, Ngosha
Alitufanyizia Kazi Kweli
Taja eneo, hata kama unasifia punguza uongoHuku kwetu.