JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Watakuogopa watasema huyu mwamba hatuogopi anapita hapa,

Kuna siku night kali nimewakuta mahali vibaka kimjini mjini nikakaza moyo kudadeki nikapita katikati yao hawakunielewa kabisa wakanipa na salamu ila uoga niliokua nao tumbo lilikua libanguruma

Hahahah[emoji23][emoji23]nimecheka balaa
 
Kadri muda unavyokwenda mbele, basi kila kitu unachokijua kinabadilika
[emoji117]Vijana wanakuwa wazee
[emoji117] Teknolojia inakua kwa kasi
[emoji117]Biashara na makampuni yana badili utaratibu wa kujiendesha
But still unataka uwe vile vile[emoji848][emoji848], who the hell do you think you are??

Ulipopata pesa ulihonga, Kisha ukaahidi ukipata nyingine utabadilisha style yako but still ni lofaa yule yule[emoji31][emoji31]
[emoji117]Una date mwanaume au mwanamke ambae hataweza kukufikisha au kuamini katika Safari yako ya mafanikio, wa nini Sasa[emoji26][emoji26] Kisa he can f.uck well ohh[emoji850][emoji850] or she is beautiful je mnahisi mtakula hizo romancee[emoji2959][emoji2959]

unataka kuwa tajiri, but still una maoni ya kimasikini ndani yakoo, kutwa story za mademu,make up, hair style mpya[emoji25][emoji25], Ronaldo na Messi nani mkalii, Buddha you better change hakuna tajiri ambae ana muda wa kupoteza zobaa wwee
[emoji117]Soma hata vitabu
[emoji117]Angalia hata documentary za matajirii
[emoji117]Acha au punguza watu ambao hawana faida na wewe, au mazingira yao hayakufaidishi . Sio kwa ubaya but you should create a better environment

Unataka kujenga nyumba, basi tembelea hata kwa waliojenga ili upate ushauri, you never know unaeza hata okota msumari wa kugongea bati[emoji16], tembela ofisi za wachora ramani waulize how can I do this or that nigga ni buree

Unataka kumilliki kiwanda, and still hujui hata mashine zinazofaa kiwandani, how does they operate[emoji87][emoji87], oyaa ombaa hata kutembelea kiwanda Cha biskuti ili ujifunze how do they do such shitss

Sahihi kbsa [emoji419][emoji419]
 
Watakuogopa watasema huyu mwamba hatuogopi anapita hapa,

Kuna siku night kali nimewakuta mahali vibaka kimjini mjini nikakaza moyo kudadeki nikapita katikati yao hawakunielewa kabisa wakanipa na salamu ila uoga niliokua nao tumbo lilikua libanguruma
Kuna siku natoka mitaa ya ARU kama saa 6 kwenda 7 naenda makongo mwisho near cathoric church kwa mguu nipo na jamaa tukakutana nao kama 10 iv poa yetu wale jamaa huwa nawatoaga sana sigara na juisi wananifahamu

Zoeaneni na wahuni jamani
 
Back
Top Bottom