Aliyekatwa atakuwa Mzee wa kupambania , maana yeye ndio hajaonekana tokea jioni 😅😅😅Shukrani mkuu, ila nasikitika mmoja wa wezi wenzagu, comrade National Anthem, amekamatwa .
So mi intelligent na Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania tunafanya mpango aachiwe soon🤪😁
Kazi kaziMida ya kazi
Watu wamwagee teee...Wakuu mkuye mkuyeee
Mkuu vijana Hawa National Anthem na Mzee wa kupambania wananipa mashaka, hapa itabidi niwarudishe mafunzoni ili wawe wezi BoraAliyekatwa atakuwa Mzee wa kupambania , maana yeye ndio hajaonekana tokea jioni 😅😅😅
Mrejesho Kuhusu my boss Bantu Lady aliniambia hataonekana leo coz anaoumzika kutokana na safari atakayoipata kesho
Mmmh hiyo ID yako inatuvurugaa...Kuna mishe gani inaendelea hapa wakuu? Nipeni dili napigwa na baridi tu hapa
Inakuvurugaje mzee wa kimasihara?Mmmh hiyo ID yako inatuvurugaa...
Huwezo mdogo hao. Ndio maana wanavizia walevi😅😅😅Mkuu vijana Hawa National Anthem na Mzee wa kupambania wananipa mashaka, hapa itabidi niwarudishe mafunzoni ili wawe wezi Bora
👉 Panga mkononi
👉Roho begani
Poa poa masterNawatakia lindoo jema wakuu, acha niangaliie interview ya billionaire Warren buffet
Unapigwa baridi ukiwa wapi? Njoo mfugale hapa 😅Kuna mishe gani inaendelea hapa wakuu? Nipeni dili napigwa na baridi tu hapa
Poa poa.Mrejesho Kuhusu my boss Bantu Lady aliniambia hataonekana leo coz anaoumzika kutokana na safari atakayoipata kesho
Nipo MTAVA hapa naomba Kujoin Parade, Comrade!Unapigwa baridi ukiwa wapi? Njoo mfugale hapa![]()