Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Jamani hi watu humu
Daaaah naomba Mungu tu msiwe wa 1 aseee maana moto nauona kweli 😠😠😠Hii man utd ni hatari
00:40
Hawa man utd kwa sasa ni timu ya kuogopwa, arsenal hatuwadai kitu msimu huu. Liverpool kazi anayo next matchDaaaah naomba Mungu tu msiwe wa 1 aseee maana moto nauona kweli 😠😠😠
Endelea kushangaa tuu😂😂Sio hivyo ila nimeshangaa tu 😑
Yaani tangu wabebe lile kombe jana daah imekua ishu sana waana perform kinoma city tukizubaa tunaweza malizz wa 3 maaan sio kwa huo moto ila huu mwezi mtamu sana subiri tuone mtanange 🦉🦉🦉🦉🦉Hawa man utd kwa sasa ni timu ya kuogopwa, arsenal hatuwadai kitu msimu huu. Liverpool kazi anayo next match
Hata kabla ya kikombe wapo vizuri, hizo comeback win haikua kawaida yao. Huyo mpemba rashford analiona goli sana. Cr7 alikua mzigo kwa timu.Yaani tangu wabebe lile kombe jana daah imekua ishu sana waana perform kinoma city tukizubaa tunaweza malizz wa 3 maaan sio kwa huo moto ila huu mwezi mtamu sana subiri tuone mtanange 🦉🦉🦉🦉🦉
Yaani balaa tuuu🔥🔥Yaani tangu wabebe lile kombe jana daah imekua ishu sana waana perform kinoma city tukizubaa tunaweza malizz wa 3 maaan sio kwa huo moto ila huu mwezi mtamu sana subiri tuone mtanange 🦉🦉🦉🦉🦉
Hujauona Moto wa Arsenal 🤔🤔, kaua mtu 4:0 hukoo. What an outstanding performance from the gurners💪💪upo sahihi mimi ni shabiki wa arsenal ila hii man utd ipo vizuri, kwenye FA tayari kampiga westham
haujaona comeback ya ManyuuHujauona Moto wa Arsenal 🤔🤔, kaua mtu 4:0 hukoo. What an outstanding performance from the gurners💪💪
It's nketiaahhhhaujaona comeback ya Manyuu
Ushindi wa arsenal ni mzuri ila comeback ya man utd ni tishio wapo kwenye kipindi kizuri sana kama timu.Hujauona Moto wa Arsenal 🤔🤔, kaua mtu 4:0 hukoo. What an outstanding performance from the gurners💪💪
Man utd wapo vyema sana sikutegemea kama watashindahaujaona comeback ya Manyuu