JamiiForums Usiku wa manane
Matajiri wanalala mbona,they just tell people to work hard ili waje kuwa kama wao
Nimetoka kuangalia documentary ya bilionea Elon musk ceo wa space x👉
👉 Boring company
👉Starlink
👉Tesla cars
👉Tweeter
He never slept for more than 1 hour, coz alikuwa ana focus Sana mkuu Mafian cartel
 
Sasa ucku njeee cnitanigwa jamniii wahuni wataona nimejipeleka na kunifnya mbaya jmn
Watakuogopa watasema huyu mwamba hatuogopi anapita hapa,

Kuna siku night kali nimewakuta mahali vibaka kimjini mjini nikakaza moyo kudadeki nikapita katikati yao hawakunielewa kabisa wakanipa na salamu ila uoga niliokua nao tumbo lilikua libanguruma
 
Nimetoka kuangalia documentary ya bilionea Elon musk ceo wa space x
Boring company
Starlink
Tesla cars
Tweeter
He never slept for more than 1 hour, coz alikuwa ana focus Sana mkuu Mafian cartel
Yeah from scratch alikuwa halali lakini he does sleep considering Kampuni zinaweza kujiendesha bila yeye kuwepo kwa karibu
 
Wanaijua hiyo!
Nataka ninunue hiyo...Hilo ni toy lakini ukilitoa kwa ujasiri watu lazima Waingie mitini
-9389792972050822973.jpg
 
Back
Top Bottom