n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,543
- 7,270
04:02am
Humo ndani vinakaa vigololo halafu ukiwa unakoki inalia kama ya ukweli[emoji28]HAYA SASA NDIYO MANENO.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28]Humo ndani vinakaa vigololo halafu ukiwa unakoki inalia kama ya ukweli[emoji28]
Akili tu mkuu unatisha tu usipige maana ukipiga tu zinatoka gololi hiyo ni mwendo wa kutisha,heshima lazima itawale [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28]
Noma sanaKukesha tu...
Absolutely true [emoji817]Kadri muda unavyokwenda mbele, basi kila kitu unachokijua kinabdilika
[emoji117]Vijana wanakuwa wazee
[emoji117] Teknolojia inakua kwa kasi
[emoji117]Biashara na makampuni yana badili utaratibu wa kujiendesha
But still unataka uwe vile vile[emoji848][emoji848], who the hell do you think you are??
Ulipopata pesa ulihonga, Kisha ukaahidi ukipata nyingine utabadilisha style yako but still ni lofaa yule yule[emoji31][emoji31]
[emoji117]Una date mwanaume au mwanamke ambae hataweza kukufikisha au kuamini katika Safari yako ya mafanikio, wa nini Sasa[emoji26][emoji26] Kisa he can f.uck well ohh[emoji850][emoji850] or she is beautiful je mnahisi mtakula hizo romancee[emoji2959][emoji2959]
unataka kuwa tajiri, but still una maoni ya kimasikini ndani yakoo, kutwa story za mademu,make up, hair style mpya[emoji25][emoji25], Ronaldo na Messi nani mkalii, Buddha you better change hakuna tajiri ambae ana muda wa kupoteza zobaa wwee
[emoji117]Soma hata vitabu
[emoji117]Angalia hata documentary za matajirii
[emoji117]Acha au punguza watu ambao hawana faida na wewe, au mazingira yao hayakufaidishi . Sio kwa ubaya but you should create a better environment
Amini kwamba...Akili tu mkuu unatisha tu usipige maana ukipiga tu zinatoka gololi hiyo ni mwendo wa kutisha,heshima lazima itawale [emoji28][emoji28]
UJUMBE mzito sana..Kadri muda unavyokwenda mbele, basi kila kitu unachokijua kinabdilika
👉Vijana wanakuwa wazee
👉 Teknolojia inakua kwa kasi
👉Biashara na makampuni yana badili utaratibu wa kujiendesha
But still unataka uwe vile vile🤔🤔, who the hell do you think you are??
Ulipopata pesa ulihonga, Kisha ukaahidi ukipata nyingine utabadilisha style yako but still ni lofaa yule yule😫😫
👉Una date mwanaume au mwanamke ambae hataweza kukufikisha au kuamini katika Safari yako ya mafanikio, wa nini Sasa😥😥 Kisa he can f.uck well ohh🤐🤐 or she is beautiful je mnahisi mtakula hizo romancee🤬🤬
unataka kuwa tajiri, but still una maoni ya kimasikini ndani yakoo, kutwa story za mademu,make up, hair style mpya😪😪, Ronaldo na Messi nani mkalii, Buddha you better change hakuna tajiri ambae ana muda wa kupoteza zobaa wwee
👉Soma hata vitabu
👉Angalia hata documentary za matajirii
👉Acha au punguza watu ambao hawana faida na wewe, au mazingira yao hayakufaidishi . Sio kwa ubaya but you should create a better environment
Unataka kujenga nyumba, basi tembelea hata kw waliojenga ili uoate ushauri, you never know unaeza hata okota msumari wa kugongea bati😁, tembela ofisi za wachora ramani waulize how can I do this or that nigga ni buree
Unataka kumilliki kiwanda, and still hujui hata mashine zinazofaa kiwandani, how does they operate🙊🙊, oyaa ombaa hata kutembelea kiwanda Cha biskuti ilj ujifunze how do they do such shitss
Hatari Prof.Noma sana
It's alfajiri nowHatari Prof.
Nimeongeza baadhi ya infoUJUMBE mzito sana..
Nimeongeza baadhi ya infoAbsolutely true [emoji817]
Sure thing bro!It's alfajiri now
Sawa, let me reviewNimeongeza baadhi ya info
Hapa tunafunga saa ngapi sasa?😅Sure thing bro!
Inategemea na Ma'Afande wengine wanasemaje?Hapa tunafunga saa ngapi sasa?[emoji28]
Sawaa sawa.Inategemea na Ma'Afande wengine wanasemaje?