Jd ndio good kwakoMimi nipe K vant zabibu wape Ke.
Mumeoa anakujuaKunijia mimi ni mgumu. Hata mimi sijielewi kama ni mpole ama mcharuko. Ila niko vile mtu anavyonijia 🤣🤣🤣🤣🤣
Sina ungaa, so niijie Kama ulivyoniambia??Intelligent businessman leo utaki singeli kabisa
Basi nimekujia ukiwa kwenye ukorofi 🤣 unatushauri tupige luangeKunijia mimi ni mgumu. Hata mimi sijielewi kama ni mpole ama mcharuko. Ila niko vile mtu anavyonijia 🤣🤣🤣🤣🤣
Sina ungaa, so niijie Kama ulivyoniambia??
Imembidi anijue. Maana alikuwa akipata shida sana, hanielewi huyu vipi. Mwezi mchanga nini? 😆😆😆😆Mumeoa anakujua
Lini mkuu, Mana utakuwa umeisaidia jamij fulani🙏🙏🙏Njoo ndio uchukue gunis moja
Tuingie studio mkuu ntakua manager wako02:35 Now it's time to do the big shots,
Hey haters, I had ya ready to do the blocks
They told me to go school, coz they felt I was just a failed lock
I did so, but still I was called an ultimatum fool
I decided to make it rain, now amma full speed than their sgr train
And no longer give a damn f.uck
Even if they complain
Coz I will always keep praying
And receive the bless, so hope I never forget to say amen
Mafian cartel
Vibwengo vinaatisha mkuuIla limemitoka tu![]()
😂😂😂😂😂😂 leo niko normal hapo. Nikiwa kwa ukorofi, huwa nauliza humu nani anataka kugombana leo? 🤣🤣🤣🤣Basi nimekujia ukiwa kwenye ukorofi 🤣 unatushauri tupige luange
Mi mwizi wa kimataifa tu, Nina vijana wenzangu 👉 Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, na mwizi anayechipukia National Anthem 👉Sera zetuTuingie studio mkuu ntakua manager wako
Umenikumbusha Boarding na vibwengo, walikuwa wanasema wanapita kwenye korido, tukiwa tumelala. Wanatukaba sitasahau.Vibwengo vinaatisha mkuu
Vipi tuliamshee zuwenaaa🤪🤐😂😂😂😂😂😂 leo niko normal hapo. Nikiwa kwa ukorofi, huwa nauliza humu nani anataka kugombana leo? 🤣🤣🤣🤣
Siku ukiwa kwenye hiyo hali nitag ninunue ugomvi🤣🤣😂😂😂😂😂😂 leo niko normal hapo. Nikiwa kwa ukorofi, huwa nauliza humu nani anataka kugombana leo? 🤣🤣🤣🤣
Sitaki ugomvi leo. Niko Kwaresma mimi. Nimeshakuwa Zuwena tena 😥😥😥😥 kale kembemba hata hatufananiVipi tuliamshee zuwenaaa🤪🤐
Dah shule mambo ya kutishana kuna siku waliingia bundi wawili bwenini saa kumi usiku dah tulitafutanaUmenikumbusha Boarding na vibwengo, walikuwa wanasema wanapita kwenye korido, tukiwa tumelala. Wanatukaba sitasahau.

