JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aisee! Today, I'm so exhausted hapa hata nikipewa sitaeza...
 
Kadri muda unavyokwenda mbele, basi kila kitu unachokijua kinabadilika
[emoji117]Vijana wanakuwa wazee
[emoji117] Teknolojia inakua kwa kasi
[emoji117]Biashara na makampuni yana badili utaratibu wa kujiendesha
But still unataka uwe vile vile[emoji848][emoji848], who the hell do you think you are??

Ulipopata pesa ulihonga, Kisha ukaahidi ukipata nyingine utabadilisha style yako but still ni lofaa yule yule[emoji31][emoji31]
[emoji117]Una date mwanaume au mwanamke ambae hataweza kukufikisha au kuamini katika Safari yako ya mafanikio, wa nini Sasa[emoji26][emoji26] Kisa he can f.uck well ohh[emoji850][emoji850] or she is beautiful je mnahisi mtakula hizo romancee[emoji2959][emoji2959]

unataka kuwa tajiri, but still una maoni ya kimasikini ndani yakoo, kutwa story za mademu,make up, hair style mpya[emoji25][emoji25], Ronaldo na Messi nani mkalii, Buddha you better change hakuna tajiri ambae ana muda wa kupoteza zobaa wwee
[emoji117]Soma hata vitabu
[emoji117]Angalia hata documentary za matajirii
[emoji117]Acha au punguza watu ambao hawana faida na wewe, au mazingira yao hayakufaidishi . Sio kwa ubaya but you should create a better environment

Unataka kujenga nyumba, basi tembelea hata kwa waliojenga ili upate ushauri, you never know unaeza hata okota msumari wa kugongea bati[emoji16], tembela ofisi za wachora ramani waulize how can I do this or that nigga ni buree

Unataka kumilliki kiwanda, and still hujui hata mashine zinazofaa kiwandani, how does they operate[emoji87][emoji87], oyaa ombaa hata kutembelea kiwanda Cha biskuti ili ujifunze how do they do such shitss
Nondo hizi hapa,mawazo pevu kabisa
 
Back
Top Bottom