Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,210
- 5,185
Hii hainaga break, ni mpaka kukuchee😀
Hii hainaga break, ni mpaka kukuchee😀
Asante tuko pamojaHongereni sana , leo mkesha umekua mkesha kweli tokea saa 6 ila mpaka 11 hii hakuna saa ilipota bila mtu kuwa macho.
😂😂😂yaan hapo mwenyewe yaanbaada ya kudoji Jana lindo, nimeamua kuja na kikosi kazi Bantu Lady, and miss To yeye, now feel safe guys.
View attachment 2485314
Weee! Mbona ngumuShinda humu 24hours kama mie
Amkeni mta chelewa foleniWapendwa muwe na usiku mzuri, msali kwa Imani zenu.
Miye dada yenu sasa nalala, lindo nalilabidhi kwa Mwachiluwi Forest Hill KIDUME20 na wengine najua Dahan tayari unasinzia.
Nawapenda sana family ya UWM
02:50
😂😂😂wanakesha mnoAmkeni mta chelewa foleni
Now huruma waliokua macho hadi saa tisa wote wamelala,,na kama mmoja wetu yupo kwenye vibarua vya wahindi leo atapigwa makofi..😂😂😂wanakesha mno
😂😂😂😂 kibarua kwushineyNow huruma waliokua macho hadi saa tisa wote wamelala,,na kama mmoja wetu yupo kwenye vibarua vya wahindi leo atapigwa makofi..
Au ukatwe elfu 80 kwenye mshaara wako laki moja na kumi😂😂😂😂 kibarua kwushiney