Nimeona hilo jina kama la huko.Ndio [emoji23] njoo bs
Nimeona hilo jina kama la huko.
Nipo 😒
Upo wapi mbona hatukuoni😂😂Nipo 😒
Kama naweza kukesha hivi, si nibadili tu fani jamani, nikasomee u Dr tu na uzee huu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata siiwezi, nitazaba vibao wagonjwa bure 🤨🤨🤨🤨Kasome nursing utapendeza na huo urembo wako
Hata siiwezi, nitazaba vibao wagonjwa bure [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Nilienda kuoga boss, leo hakuna kulala
Ila Mwachi huwa unanifurahishaga sana na comment zako.Vya matako [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Mwachi huwa unanifurahishaga sana na comment zako.
Unaonyesha hujui kukasirika kabisa, hongera sana
Naperuxi tu hapaUpo wapi mbona hatukuoni😂😂
Upo wapi mbona hatukuoni😂😂
😂😂😂😂Namsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
Naperuxi tu hapa
Aisee vizuri sana, unakuwa na amani ya moyo. Endelea hivyohivyo, huwa nakusoma sana nafurahi sana.[emoji23][emoji23][emoji23] nisha shwindaga hilo jambo nikikasilika sinitakufa mapema niwaachie niny dunia mfaid wakat bado naipenda[emoji23]