Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Aisee vizuri sana, unakuwa na amani ya moyo. Endelea hivyohivyo, huwa nakusoma sana nafurahi sana.
Thanks nilikuwa sijui asante kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Aisee vizuri sana, unakuwa na amani ya moyo. Endelea hivyohivyo, huwa nakusoma sana nafurahi sana.
Kwann bro sio kudume ni KIDUME
[emoji3047]
0247
Pole mkuu.Joto limepingua
Asante sanaWapendwa muwe na usiku mzuri, msali kwa Imani zenu.
Miye dada yenu sasa nalala, lindo nalilabidhi kwa Mwachiluwi Forest Hill KIDUME20 na wengine najua Dahan tayari unasinzia.
Nawapenda sana family ya UWM
02:50
Wapendwa muwe na usiku mzuri, msali kwa Imani zenu.
Miye dada yenu sasa nalala, lindo nalilabidhi kwa Mwachiluwi Forest Hill KIDUME20 na wengine najua Dahan tayari unasinzia.
Nawapenda sana family ya UWM
02:50
Nimecheka kwa sauti na usiku huu, wewe ni kochwa kingine aisee 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🤣🤣🤣🤣🤣🤣 namba tena shule 😅😅😅😅😅 poa usiku mwema MwachiMimi nawaacha nataka nilale kesho niwai namba shule [emoji23]
Nimecheka kwa sauti na usiku huu, wewe ni kochwa kingine aisee [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] namba tena shule [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] poa usiku mwema Mwachi
Anaendelea vzr Bantu Lady mm bado nipo
Unasomaga tu mpaka leo au ni fiksi hiziMimi nawaacha nataka nilale kesho niwai namba shule [emoji23]
Unasomaga tu mpaka leo au ni fiksi hizi
Eti wanangu unwezaje kumtag mtu mi siwezi naomba mtu anieleweshe [emoji19][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
🤺🤺🤺 ComingKomu piemu nikuelekeze
Tupo pamoja Bantu LadyWapendwa muwe na usiku mzuri, msali kwa Imani zenu.
Miye dada yenu sasa nalala, lindo nalilabidhi kwa Mwachiluwi Forest Hill KIDUME20 na wengine najua Dahan tayari unasinzia.
Nawapenda sana family ya UWM
02:50