Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
00:46 intelli fvckin world
Mjomba sasa tukutaftie mke uwe unalala mapema.00:46 intelli fvckin world
Dah wajomba ila kutokuwa na usingizi, havi ingiliani na kukosa mke mkuu?.Mjomba sasa tukutaftie mke uwe unalala mapema.
Akuone Kila siku unalala kesho.Dah wajomba ila kutokuwa na usingizi, havi ingiliani na kukosa mke mkuu?.
japo kweli sija oa, ila sioni relation hapo.
Hapo nime kusoma, haina shaka wajomba nime ridhia nitafutieni mke ili nilale mapema.Akuone Kila siku unalala kesho.
Usiku umekomaa na simu.
Utalala tu labda simu mshike wote.
Sisi huku ndo Kwanzaa kumekucha mkuu😀😀laleni
I loved this song a lot ..enzi zile💃💃02:27 aye by davido 🔥🔥
Le le le
Niko naangalia live performance yake, oya hili dude ni konki.I loved this song a lot ..enzi zile💃💃
Hii noma sana,niliipiga sana hii enzi zile napanda mt. Kilimanjaro kutoka horombo hadi kibo😀😀Niko naangalia live performance yake, oya hili dude ni konki.