JamiiForums Usiku wa manane
eeac9e1d750567851822a402b9e8d5a4.jpg
 
Daah ingekuwa mimi hilo angejuatia.
Napenda mke mchaji lkn awe na kiasi na anisikilize.
Vinginevyo nitamwambia arudie hukohuko alikotoka
mkuu nimevumilia, mala ya kwanza alileta hizi picha tukatengana, chanzo ilikuwa kanisa, hii second time picha kama ile ile.. nikirudi akitoa jibu, ndio ataelewa mie ni nani..
 
Ukatumie akili zaidi.
Au nawe ni kitombi sana hadi amejua na ameshauriwa akeshe akikuombea?🤣🤣🤣
mie napiga ma story tu humu, mie kwanza domo zege, pili naogopa sana maradhi ya ngono, siwezi kabisa hata kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja... huyu wife wamemuona kondoo mjinga.. wanafikiri na mie mjinga, waliniona kama zobaaa.. kumbe nina upande wa pili hawajui.. kama nina misimamo kuliko wao 😀😀🙂
 
Kwa hiyo visa vyote kule uzi wa kimasihara ni kamba?
 
mie napiga ma story tu humu, mie kwanza domo zege, pili naogopa sana maradhi ya ngono, siwezi kabisa hata kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja... huyu wife wamemuona kondoo mjinga.. wanafikiri na mie mjinga, waliniona kama zobaaa.. kumbe nina upande wa pili hawajui.. kama nina misimamo kuliko wao 😀😀🙂
Kabisa tulizana na ndoa yako, magonjwa mengi watu hawataki kutulia. Uanze kula mbegu saa hii aaah bora itokee, kwa bahati mbaya sana. Siyo kuyafata magonjwa yalipo.
 
Back
Top Bottom