Nifundishe namna ya kuomba kazwanatoa salary nzuri tu
Thanks mkuu,Bantu Lady, Jana nilikuwa naumwa ila Kama vipi nipeni tu hiyo adhabuTo yeye leo umedoji lindo, mtu chake unapotea lindo lako fyddell hello Intelligent businessman muda wa lindo umefika De Professor karibuni lindoni
wapi mkuu?
Shinda humu 24hours kama mieNifundishe namna ya kuomba kaz
Walinzi wenzangu mmeshindaje huko mlikoo...
Pole sana Intelligent businessman unaendeleaje na hali yako MkuuThanks mkuu,Bantu Lady, Jana nilikuwa naumwa ila Kama vipi nipeni tu hiyo adhabu
Swalamaaa, tupo tunaendeleza walipoishiaaaSwadapta kiongoz vip huko
Kwa mapenzi yake maulana, naendelea vyema mpendwa and thanks for caring👍Pole sana Intelligent businessman unaendeleaje na hali yako Mkuu
Salama kwa upande wangu? Karibu lindoni Mkuu Sierra OneWalinzi wenzangu mmeshindaje huko mlikoo...
Nilipoingia maombi nikatoka mazima huku maana yakikuwa ya mudaNimeelewa brother, lakini nadhani mara nyingi unapoonza kusali/kuomba nguvu ya Mungu ama tunawaza kusema Roho mtakatifu (upande wa christian) inakuwezesha au kukusaidia jinsi bora ya kuomba.
Maana sote hatujui namna bora ya kuomba isipokuwa kudaiwa na Mungu ikiwa umeweka nia.